George Waitara alitoa wapi zile pesa?

Nasema kwa hili nampa pongezi JK na litakiwa kuendelea na moto ule ule ila akauzima. Yes nasema alikomba pesa za Sumaye na Waitara hili liko wazi. Shida yenu mnakurupuka kila mara bia kujua.Kwa nini nisiseme alikomba za Mkapa ama wengine ila nimekuja na za Waitara? Why not za Mboma ?
 
Jamani mwenye data na ambaye yupo karibu na huyu kibopa mwageni data watu waanze kulink mambo huku na kule....
 
Mtu ukishapata data zinasema JK alichukua pesa za Waitala na Sumaye kama kweli ni za uhakika utapata data za sh. ngapi na zilikuwa wapi. Kuamini inakuwa ni vigumu, na baada ya kuchukua hizo pesa ziliingia ktk mfuko upi au matumizi yapi au ndizo zilitumika kwa safari za Mzee.

Habari za namna hii mzitegemee zaidi kuja mwishoni mwa 2009 na 2010 yenyewe na kuishia kuleta Rais mwenye vioja na mwenye kuleta taabu, huzuni, vulugu kwa raia wake.

Sasa hivi ni wakati wa mavuno maeneo mengi ya Tanzania lakini vyakula vinazidi kupaa kwa bei. Maisha bora yako wapi? Hakuna mradi wowote mpya wa kuingizia mapato serikali uliokwisha anzishwa na badala yake kuna miradi mingi ya kutorosha pesa.

Kwa jinsi JK anavyopenda sifa kama alichukua pesa kwa Waitala na Sumaye angeitisha mkutano na wazee wa CCM mkoa wa Dar kulizungumzia na kujizolea credit mbele za Watanzania otherwise nothing like that.
 
Niliwahi kusikia sehemu na mimi nikaomba data sikupata ila nilisikia Sumaye na sio Waitara, labda mkuu anajiandaa kututafutia data tusubiri kidogo.
 
Kwa kuwa kila mmoja kataka dara basi nipeni muda nimrudie mnyetishaji wangu .Maana nilimuona kila kitu akasema hana sababu ya kuongopa na sasa nikaona nisimwamini nije hapa kuona kama kuna mwenye habari .Ninarudi huko porini kujipanga the same time tuendelee kama kuna mwenye fununu ambazo zitatupelekea kuona kasi ya JK ilivyo anza na sasa imedumaa .
 
NDugu Lunyungu

Huko nyuma niliwahi kusema kuwa hawa wanajeshi wetu ni "Untouchables" bado ningependa kusema hali hiyo haijabadilika na sithani kama itabadilika miaka ya karibuni (wawe bado kwenye sare zao au sare za kiraia).

Gen Waitara ni mtu mdogo sana katika bwawa la ufisadi wa unaotokea jeshini, kuna Gen Mbona na wengine wengi; infact kuna wanajeshi wetu wana nyumba London. Na wale ambao hawakununua nyumba au kufungua biashara kubwa kubwa wametumia mahela mengi kusomesha watoto wao UK, USA, China etc. Mimi naamini ingawa sina ushahidi kamilifu ni kuwa hela nyingi za kifisadi zilitokana na madili haya; Rada, Helkopta, Magari na ushauri wa kijeshi kwa Congo etc.

My take on this ni kuwa hutaweza kupata ushahidi wa kutosha kurithisha wanabodi hapa JF kwa sababu vyanzo vizuri kwa nyeti kama hizi vipo jeshini. Ila hii inatosha kuwafumbua wananchi macho kuwa hawa wanajeshi wetu pamoja na heshima kubwa wanayostahili kwa kulinda mipaka yetu wengi wao kwenye ngazi za juu sio waadilifu. It's about time wajue watanzania wana macho ya kuona na sasa wana ujasiri wa kuhoji.
 
Akianza Vita Ya Kuwapoka Vijisenti Hapa Tz Na Serikalini Na Wastaafu Habaki Mtu Hata...wooote Wanapokwa.....
 
pili kwenye hizi opelesheni za nje ile ya liberia jamaa nusu wagome kuchukua mkwanja, kwani aliwakata jamaa wakataa,palikuwa pazuli.

...kama kitu hujui subiri wapo wanaojua watapita..utaelimika...wakati majeshi yalipotumwa liberia mkuu wa majeshi hakuwa waitara...wakati huo ndio alipokuwa ameripoti makao makuu ya jeshi kutoka india alipokuwa mwambata wa kijeshi.....

Aliyepeleka majeshi liberia ni jenerali ernest mwita kiaro.....na baadaye waliendelea kuwako huko chini ya jenerali mboma...na ndipo kashfa ya vijana kukatwa pesa ilipoanza...,hata hivyo ile operesheni iligharamiwa na serikali kwa ahadi ya kurudishiwa fedha ....waziri wa fedha akiwa lt col jakaya kikwete....zile pesa serikali haikurudishiwa...ikaishia kupata hasara kubwa!!!
 
Namuona kama kiongozi wa wanafiki huyo Katibu Tarafa na kama yeye ndio wameona anabusara hadi kupewa hicho cheo basi nadhani hiyo tarafa waliobakia ndio maboga kabisa.........! Badala ya kuuliza....!!
Ndugu zangu Wana JF,

Waitara ni mmoja kati ya Mafisadi wakubwa waliowahi kukalia kile kiti cha Ukuu wa Majeshi hapa nchini, Alidiriki kuwapunja Posho za Parade zote za kiserikali Askari wa kawaida, Alidiriki kuwapunja posha zao pia Askari ambao walikwenda katika operesheni za kijeshi mbalimbali nje ya nchi ni Bingwa pia katika kutafuna zile Zabuni tata ndani kile chombo cha Usalama kama Jeshi.

Kwa ufupi ni Fisadi tu, Miradi kama ile ya SUMA JKT na mengine mingi ni mmoja kati ya Vyanzo vyake vichafu vya mapato ....Mi nadhani asiyejua anatakiwa kuuliza sio kukurupuka na kuanza kukanusha mambo asiyoyajua !
 
kama kampokonya waitara basi kamuonea! iweje ampokonye waitara na sumaye peke yao? hivi chenge, rostam, karamagi, mkapa, lowasa, .......hawaoni au?

nnachoweza kufikiri kwa hili ni JK ana beef na Waitara na itakuwa anamlipa!

na niliwahi kusikia kuwa JK ana beef na waitara kwa sababu Waitara alimkatalia JK kujiunga na kambi aliyokuwa anaisimamia Mbeya, ambayo Kikwete alipelekwa.
sababu aliyotowa waitara ni kuwa kambi hiyo ilikuwa ni kwa wanajeshi waliokuwa advanced kidogo na waliosoma, na aliona kuwa kikwete hakutimiza qualifications hizo kwa wakati ule.
 
dataz ni kuwa muungwana alikuwa hampendi waitara..lakini alikuwa anamchekea machoni..kisa ni kuwa enzi jk akiwa askari..kina waitara na watu kama lt .gen sayore [pia alipata kuwa TMA enzi zile jk ni kamisaa]...walikuwa wakidharau maafisa wa kisiasa kama kikwete kama MANANGA...nanga ni askari mzembe.....na hasa sayore alikuwa akichukia sana mananga ...alipenda ukakamavu..sidhani kama jk anaweza kuwa na ukaribu na sayore hata leo maaana ni mtu mwenye kisasi...

pia asira nyingine ya jk kwa waitara ni kuwa alimwandikia ripoti mbaya sana wakati wa uteuzi ambako wakuu wa usalama ni lazima watoe comments kwa kila mgombeaji..especially wa ccm...kwa ajili ya kujadiliwa kamati kuu...

hasira ya jk kwa waitara aliimalizia kwa kumdhalilisha pale alipomwambia aandike barua ya kuomba kuongezewa mkataba ili amuungozee...na badala yake akamdhalilisha kwa kumwandikia BARUA YA KUKATAA OMBI LAKE...hii ilimuuma sana waitara kwa kuwa aliandika barua kwa kushauriwa na rais mwenyewe...kumbe mwenzake alikuwa na machungu ya zamani na alidhamiria kumdhalilisha ...

....kwa kifupi jk si mtu wa kutendewa jambo JEMA au ZURI akasahau....kwa waliomtendea mema wote LAZIMA HUWAKUMBUKA KWA FADHILA PIA!
 
Du we haki tupu sasa unapata hitilafu!! Sumaye na JK hawakuiva ktk kampeni zao, na matusi ya wazi yalikuwa yanatolewa, ampeleke vipi shule? Kisha kama alivyokuuliza Lunyungu ili aje kufanya nini kwa elimu atakayoipata?
 
...kama kitu hujui subiri wapo wanaojua watapita..utaelimika...wakati majeshi yalipotumwa liberia mkuu wa majeshi hakuwa waitara...wakati huo ndio alipokuwa ameripoti makao makuu ya jeshi kutoka india alipokuwa mwambata wa kijeshi.....

Aliyepeleka majeshi liberia ni jenerali ernest mwita kiaro.....na baadaye waliendelea kuwako huko chini ya jenerali mboma...na ndipo kashfa ya vijana kukatwa pesa ilipoanza...,hata hivyo ile operesheni iligharamiwa na serikali kwa ahadi ya kurudishiwa fedha ....waziri wa fedha akiwa lt col jakaya kikwete....zile pesa serikali haikurudishiwa...ikaishia kupata hasara kubwa!!!
Bora useme wewe, nilivyouliza mimi nikaulizwa kama najua sheria za jeshini lol mara ooh General akimtaka mkeo hakuna kusema no....!!!!
 
kutokana na historia baina ya JK na Waitara na Sumaye sishangai sana kusikia kuwa amewapokonya pesa zao walizozichuma (kifisadi au bila ya ufisadi, i dont know)!

lakini kama kiongozi bora, JK anachemsha kuwa mtu wa kulipiza kisasi hasa kwa mambo yaliyotokea zamani.

kama alikuwa na nia ya kuwapokonya watu waliochuma pesa zao kifisadi, alikuwa awapokonye wote, sio wale mafisadi waliokuwa si rafiki zake tu na kuwakingia kifua wale anaowapenda.
 
NDugu Lunyungu

Huko nyuma niliwahi kusema kuwa hawa wanajeshi wetu ni "Untouchables" bado ningependa kusema hali hiyo haijabadilika na sithani kama itabadilika miaka ya karibuni (wawe bado kwenye sare zao au sare za kiraia).

Gen Waitara ni mtu mdogo sana katika bwawa la ufisadi wa unaotokea jeshini, kuna Gen Mbona na wengine wengi; infact kuna wanajeshi wetu wana nyumba London. Na wale ambao hawakununua nyumba au kufungua biashara kubwa kubwa wametumia mahela mengi kusomesha watoto wao UK, USA, China etc. Mimi naamini ingawa sina ushahidi kamilifu ni kuwa hela nyingi za kifisadi zilitokana na madili haya; Rada, Helkopta, Magari na ushauri wa kijeshi kwa Congo etc.

My take on this ni kuwa hutaweza kupata ushahidi wa kutosha kurithisha wanabodi hapa JF kwa sababu vyanzo vizuri kwa nyeti kama hizi vipo jeshini. Ila hii inatosha kuwafumbua wananchi macho kuwa hawa wanajeshi wetu pamoja na heshima kubwa wanayostahili kwa kulinda mipaka yetu wengi wao kwenye ngazi za juu sio waadilifu. It's about time wajue watanzania wana macho ya kuona na sasa wana ujasiri wa kuhoji.
Mkuu,

Hii ni 3yrs ago, wamekuja WikiLeaks ndo watu wanaanza kushtuka na kuona ni habari mpya!

Kama ulivyosema mwishoni, issues za jeshini ushahidi wake kuuweka public sometimes ni ngumu sana, hata kuuelezea yataka moyo. Sadly kuaminika unapoongelea issues related na vyombo vya usalama ni vigumu sana na traditional media haziwezi hata kupata uthubutu wa kuwagusa wakuu wa pande hizi.

Kuna siku (labda) wikileaks wakiandika watu wataelewa
 
Back
Top Bottom