George bush trying to curse Holy quran (Allah Amfunga mdomo bush )

We mzee kumbe mdini keleuwiii ngoja nkakate tkt ya moshi niache mambo haya ya imani khaaaaaa
 
Umeangamia wewe kwa jina La Allah na umekwisha angamia wewe .

Imeandikwa mwenye kuitoa wewe pumzi ya uhai ndio peke yake anaweza kuiondoa, ibiri shetani na vibaraka wake hata muimbe usiku kucha hamta weza kamwe!! So kwa taarifa yak ni kuwa Huna mamlaka hata nukta moja kuamlisha kuangmia kwangu
 
Haya tuyamalize ninakuacha kama ulivyo ukinita shetani na wewe utaangamia. Usipo niita shetani hauta angamia usipende binadamu mwenzako kumita jina baya ndio maana na mimi nikakwambia uangamie kwa jina la Allah. Jirekebishe usipende kumwita mtu jina baya haifai ikiwa kweli wewe unamuamini mungu wako Bwana Yesu.
 
Wafia dini again!!aaah!So na raisi wetu alipoanguka kirumba alipigwa na nani!!Unamlaani mtu kuwa siku moja atafumbwa mdomo na kufa wewe utaishi milele!!What a waste of energy najihurumia kwa kupoteza sekunde zangu!!Dini hizi...arghhhh!!
 
Back
Top Bottom