George Bush is coming again!

Hawezi kuja sababu Chama Cha Haki za Kibinadamu zinamtaka awe jela sababu ya Vita vya IRAQ kuwatesa Wafungwa

Alitakiwa aiende Switzerland akafuta ziara akiwa kwenye Ndege Uswisi hawakumhakikishia Ulinzi, Alikuwa Canada serikali ya Canada ni Concervative ikamwekea pingamizi

Serikali za kiafrika labda sababu Rais wa Sudan Anazuru nchi kadhaa Africa...

* Kwahiyo ina Maana Kigamboni ni yake????
 
hamna kitu kinachoniuma kama hii ya kigamboni, kwani sisi ndiyo hatupaswi kuishi sehemu nzuri, kila kuzuri wawekezaji wawekezaji, nikitoka hapo sitapata sehemu ingine iliyobora na karibu na mjini kama kigamboni, inaniuma sana
Anaenda kwenje eneo lake alilonunua kigamboni
 
DALLAS (AP) — Former President George W. Bush will travel to Africa next month to raise awareness about cervical and breast cancer, an effort he calls a "natural extension" of a program launched during his presidency that helps fight AIDS on the continent.
Bush, former first lady Laura Bush and officials with the George W. Bush Institute are heading to Tanzania, Zambia and Ethiopia from Dec. 1 through Dec. 5, where they'll visit clinics and meet with governmental and health care leaders.

"We believe it's in our nation's interest to deal with disease and set priorities and save lives," Bush told The Associated Press.
In 2003, Bush launched the U.S. President's Emergency Plan for AIDS Relief, or PEPFAR, to expand AIDS prevention, treatment and support programs in countries hit hard by the epidemic.

My take: he might be having interests here si bure

Amekuja kunusanusa nini kipya kilichojiri
 
Mind you!
Nchi yeyote yenye nishati,iwe mafuta,uranium n.k lazima Mmarekani ainyonye kwa jinsi yeyote ile,laiti JK angekuwa kama Gadaffi,uranium ingetutoa wabongo.
Lakini kwa akili ya ma CCM,bush atawarushia 1bil USD wakianza kuzigombania ataiba 100bil USD na kusepa nazo.
Hakuna cha kusifu hapa.

:spy:
 
anakuja kuangalia miradi yake na kupata taarifa za kiutendaji!Amekuja kupata taarifa za kule kigamboni,GGM na uwezekano wa kuuza silaha
 
DALLAS (AP) — Former President George W. Bush will travel to Africa next month to raise awareness about cervical and breast cancer, an effort he calls a "natural extension" of a program launched during his presidency that helps fight AIDS on the continent.
Bush, former first lady Laura Bush and officials with the George W.
Bush Institute are heading to Tanzania, Zambia and Ethiopia from Dec. 1 through Dec. 5, where they'll visit clinics and meet with
governmental and health care leaders.

"We believe it's in our nation's interest to deal with disease and set priorities and save lives," Bush told The Associated Press.
In 2003, Bush launched the U.S. President's Emergency Plan for AIDS Relief, or PEPFAR, to expand AIDS prevention, treatment and support programs in countries hit hard by the epidemic.

My take: he might be having interests here si bure
Yeah,vitu kama uranium,barrick gold mines na mradi wa net nazani ndo anavyokuja kucheki progress zake!
 
Hillary Clinton alitembelea Zambia na Tanzania. Hizi nchi mbili hazikuwa marafiki sana na Marekani kutokana na uongozi/itikadi za viongozi wa enzi hizo (Nyerere & Kaunda) lakini zina madini na ni marafiki na China. Kikwete kafungua milango kwa marekani sasa hivi wako kila mahali hapa Tanzania.

Kitu ambacho Tanzania tunakosa kwa kulinganisha na hawa wenzetu (Marekani) ni kuwa na msimamo wa pamoja kwenye mambo ya kitaifa. Bush ni Republican, Hillary Clinton ni Democrat, lakini linapotea jambo la maslahi ya Taifa kama kutafuta madini ya Tanzania hakuna cha Democrat wala Republican. Hapa tunashindwa hata kukaa pamoja kuunda katiba ya nchi, tubakia kutukanana bungeni. Inaudhi!
 
Watanzania wapuuzi sana,yaani wameamini kabisa kwamba vyandarua vya A-Z kweli vinasaidia kupunguza incidences za malaria.Utafiti umeonyesha kwamba vyandarua vya dawa havipungizi incidences za malaria,ni utapeli mtupu,Kazi yake literally ni kutufanya tuwe mandondocha na hata hatimaye kufa.Jamani inabidi tuwe more diagnostic.Kama kweli wanatupenda wange anzia kwenye mazalia na hata kutupa dawa za malaria bure.
Hawa tumeshawazoea wakishastaafu wanakuja kuchuma huku kwetu na wanakuja kwavigezo vya kufanya fundraise zakuchangisha hela Pumbaaaaaffffff! Mimi namsubiri na viatu kwakua najua lazima afike Arusha kuja kuangalia ule mradi wake wa vyandarua.
 
@FJM. Naunga mkono hoja yako. Wenzetu wamefikia hapo kwasababu kuna kizazi kilikaa kikawaza USA ya zaidi ya miaka 100 itakuwaje,kikajua tunu za taifa ni zipii,wakatengeneza Katiba ya watu wa Marekani. Hapa wiki yote iliyopita huko Bungeni,watu wanaojiita waheshimiwa walifungulia bomba ya matusi na kashfa na bdae wakapitisha muswada wa mchakato wa katiba mpya. Nilimkumbuka baba wa taifa Mwl. Nyerere alikua anasema Mwafrika ni masikini kabisa wa mawazo!
 
Hillary Clinton alitembelea Zambia na Tanzania. Hizi nchi mbili hazikuwa marafiki sana na Marekani kutokana na uongozi/itikadi za viongozi wa enzi hizo (Nyerere & Kaunda) lakini zina madini na ni marafiki na China. Kikwete kafungua milango kwa marekani sasa hivi wako kila mahali hapa Tanzania.

Kitu ambacho Tanzania tunakosa kwa kulinganisha na hawa wenzetu (Marekani) ni kuwa na msimamo wa pamoja kwenye mambo ya kitaifa. Bush ni Republican, Hillary Clinton ni Democrat, lakini linapotea jambo la maslahi ya Taifa kama kutafuta madini ya Tanzania hakuna cha Democrat wala Republican. Hapa tunashindwa hata kukaa pamoja kuunda katiba ya nchi, tubakia kutukanana bungeni. Inaudhi!
Kweli mkuu,na siyo hivyo tu,hata vyombo vyetu vya dola vimekuwa very politicized...Polisi na mahakama ulaji wao umekuwa kwenye siasa ikiwa ni pmaoja na rushwa.

US huwezi kukuta eti polisi wanatetea sera za republicans vs democrats, huwa wana utaifa kulik sisi tunaojidai kujivunia unafiki wa amani eti na makabila sijui 120, wapi?Actions speaks louder than words.
 
Uzuri wake ni kwamba alifurahi sana alipozuru Tanzania jinsi alivyopokelewa na Waafrika Wakristo kwa Waislamu Rais Mwislamu

US kama wewe ni mtanzania upo bila makaratasi kama hauna criminal case; wanakuruhusu kuishi hawaku deport

Republicans wanaipenda Bongo haswa... kwahiyo sheria zao za Immigration kwa Watanzania ni laini
 
DALLAS (AP) — Former President George W. Bush will travel to Africa next month to raise awareness about cervical and breast cancer, an effort he calls a "natural extension" of a program launched during his presidency that helps fight AIDS on the continent.
Bush, former first lady Laura Bush and officials with the George W. Bush Institute are heading to Tanzania, Zambia and Ethiopia from Dec. 1 through Dec. 5, where they'll visit clinics and meet with governmental and health care leaders.

"We believe it's in our nation's interest to deal with disease and set priorities and save lives," Bush told The Associated Press.
In 2003, Bush launched the U.S. President's Emergency Plan for AIDS Relief, or PEPFAR, to expand AIDS prevention, treatment and support programs in countries hit hard by the epidemic.

My take: he might be having interests here si bure

Jimmy Carter has been in Tanzania on numerous occassions, yet nobody said a word. What's the big deal with the Texas cowboy?
 
Mi naamini kua viongozi wa nchi za magharibi kama alivyo BUSH ni watu wazuri wa kushirikiana nao ila tatizo viongozi wetu wa africa hawajui namna ya kushirikiana na hawa watu ndo maana siku zote si tunaishia kua "the looser"
Karibu sana Tanzania Mr G.W. BUSH
 
Back
Top Bottom