hizi hapa4.4.2 hii ni yangu kaka
sema ulipokwama tuanzie hapo, pia kama unataka whatsapp hakuna haja kuhangaika ingia tu website ya whatsapp kupitia hio emulator then idownloadSasa kaka sijajua kaka hii nita fanya nini nimefungua lakini sijapata matokeo mazuri bado
katika maelekezo yangu hakuna sehemu ya kuinstall unadownload na kudrag na kuidrop kwenye emulatorInakataa kabisa ku insto nakuomba unipatie maelekezo mkuu
samahani mkuu hili neno drag na kudrop hebuliwekee maana njema kwa lugha yetu samahani lakinikatika maelekezo yangu hakuna sehemu ya kuinstall unadownload na kudrag na kuidrop kwenye emulator
Mkuu ni njia zipi hizo za kucheki mpira live through laptop bila kuwa na emulator like bluestack etczipo nyingi sana unaweza kuinstall kama os uka dual boot zipo
-android x86
-phoenix os
-remix os
ila hapo narecomend phoenix sababu ni nyepesi zaidi, app zake zina windows na ui ni kama os nyengine za computer
pia zipo emulator kama bluestack, hii genymotion, andy, youwave, windroy(windroid) etc hizi unaweka kwenye windows na nyingi zinatumia virtual box.
ila kwanini ueke emulator sababu ya mobdro tu? zipo njia nyingi sana za kuangalia mpira kwa pc
Mkuu ni njia zipi hizo za kucheki mpira live through laptop bila kuwa na emulator like bluestack etc
samahani mkuu hili neno drag na kudrop hebuliwekee maana njema kwa lugha yetu samahani lakini
thread ya zamani kidogo, sasa hivi kuna droid4x na amiduos hizi ni best emulator kwa sasa.hapo pa kuifanya kama simu kidogo mm ninashindwa mkuu
kwa sifa hzo ipi itanifaa kwa sasa na naipata vp kakathread ya zamani kidogo, sasa hivi kuna droid4x na amiduos hizi ni best emulator kwa sasa.
hio cpu ipo slow sana usitegemee perfomance kubwa.kwa sifa hzo ipi itanifaa kwa sasa na naipata vp kaka
sijawahi kuitumia hii, ngoja nitaijaribu na kuleta feedbackahsante kwa hiyo, lakini mimi naipenda memu ni moja ya emulator nzuri pia