Genymotion, emulator bora ya android kwenye PC

Whatsapp yoyote ya kwenye computer au inayoRun kwenye hizo virtual environment haziwezi kufanya kazi kama huna account kwenye simu yako. Ni lazima kwanza simu iwe online whatsapp then ndio ya kwenye computer ifunguke.
android ambayo ipo kwenye virtual box, emulator au android x86, whatsapp zake ni standalone hazihitaji uwe na acount kwenye simu.

angalia screenshot yangu hapo juu hio whatsapp ni standalone ina namnba yake na wala haina mahusiano na whatsapp ya simu yangu
 
Samahani chief bado na kusumbua hivi nna nokia model ni 311 nimesahau number ya siri je nataka nifute vitu vyangu vyote nianze upya naomba msaada
 
Samahani chief bado na kusumbua hivi nna nokia model ni 311 nimesahau number ya siri je nataka nifute vitu vyangu vyote nianze upya naomba msaada
kama unaanza upya iflash na nokia suite au kwa fundi
 
Bado natamani kujua mengi kuhusu wewe chief naona kwenye simu zipo blog kama Millard ayo jamii foram na nyingine nyingi mbona kwenye computer mpaka utumie us browse
 
Whatsapp yoyote ya kwenye computer au inayoRun kwenye hizo virtual environment haziwezi kufanya kazi kama huna account kwenye simu yako. Ni lazima kwanza simu iwe online whatsapp then ndio ya kwenye computer ifunguke.

Hapana bro unakosea , WhatsaApp inaweza kurun kwenye emulator hata kama sim yako iwe off . Umechanganya kati ya emulator na WhatsApp web client . Ukitumia web client ya whatsapp ( iwe native au browser based ) ndo utahitaji sim yako iwe online but emulators kama genymotion au bluestack zinaweza kurun whatsapp sabab ni clone za system nzima ya android , so haziitaji sim yako kuwa online .

Mimi natumia laptop na ina window10 hivi siwezi ku download what's app nikatumia pekee bila kuwa na account ya simu

Kwa kumjibu huyo jamaa , ndio unaweza kurun whatsapp kwenye windows 10 yako kwa kutumia emulator ( kama alivyokujibu chief ) , sabab whatsapp hawatengenezi account ya sim , bali wanatengeneza account ya line yako ( sim card ). unachohitaj wewe ni kudownload emulator ( bluestack , genymotion , youwave etc ) , install whatsapp , wakati wa kuandikisha namba yako hakikisha line yako iko kwenye sim ya aina yoyote ( sio lazima iwe smart phone ) , WhatsApp watakutumia code kwenye namba yako , tumia iwe code kuvalidate line , then you are good to use whatsapp kwa computer bila ya kuwa na smart phone
 
zipo nyingi sana unaweza kuinstall kama os uka dual boot zipo
-android x86
-phoenix os
-remix os
ila hapo narecomend phoenix sababu ni nyepesi zaidi, app zake zina windows na ui ni kama os nyengine za computer

pia zipo emulator kama bluestack, hii genymotion, andy, youwave, windroy(windroid) etc hizi unaweka kwenye windows na nyingi zinatumia virtual box.

ila kwanini ueke emulator sababu ya mobdro tu? zipo njia nyingi sana za kuangalia mpira kwa pc
Chief emulator ipi naweza kuitumia kwa whatsapp hasahasa bila shida kwenye dell latitude d531?
 
Bado natamani kujua mengi kuhusu wewe chief naona kwenye simu zipo blog kama Millard ayo jamii foram na nyingine nyingi mbona kwenye computer mpaka utumie us browse
unamaanisha application za simu na kwamba kwenye computer hadi utumie browser? browser za pc zina nguvu sana na siku zote website zinakuwa na nguvu kuliko application za simu cha muhimu tu kuwa na adblocker ili uwe na experience nzuri
 
1464197918551.jpg
 
Ona nilipo mkuu lakini mambo bado magumu
kama ni whatsapp tu unaweza kuidownload kwenye website yao. kama unataka playstore angalia thread hapo juu kuna link ya kuidownload. hio note 2 yako inarun android ipi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom