Genymotion, emulator bora ya android kwenye PC

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,631
39,613
Humu ndani suala la emulator ya android kwenye pc sio geni watu wengi wanaulizia jinsi ya kueka whatsapp kwenye pc na vitu kama hivi. kuna kipindi kuna game la android nilitaka kulicheza kwenye pc nikadownload emulator zaidi ya 5 za android bila mafanikio mwisho nikaja kufanikiwa kwa kutumia hii genymotion. emulator hii ni unique na pia inahitaji utaalam kidogo ila kwa muongozo mzuri ukifanikiwa kuieka utaelewa kwa nini hii ni bora.

suala la ram
Moja ya kitu nilichopenda kwenye hii emulator ni kwamba unajikuna unapojifikia, kwanini nasema hivi?

Genymotion inakuruhusu kudownload virtual device zenye resolution tofauti na ram tofauti, kuna virtual device kama galaxy s3, s4, nexus zote, xperia nk inamaana unachagua simu halafu ndio inakuwa emulator.

Mimi pc yangu ina ram 3gb hivyo nikadownload virtual device ya galaxy s3 yenye ram 1gb inamaana emulator yangu itachukua 1gb of ram na kuniachia 2gb kwa ajili ya apps nyengine,

Mfano wewe pc yako ina 1gb of ram hivyo unaweza download simu ya zamani kama htc nexus one yenye 512mb of ram ili kuweza kuirun emulator vizuri.

Nafikiri nitakuwa nimeeleweka nikisema suala la ram unajikuna unapojifikia, wale wenye pc za zamani mnaweza kuidownload.

pp1p3dK.jpg

android version
tofauti na emulator nyengine genymotion unachagua version ya android unayotaka, kuanzia android za zamani kama 2.3 hadi android mpya kama 4.4.4 kitkat

kuflash mafile
emulator hii inakuja na rom ya aosp bila service za google, ila inaruhusu kuflash mafile just download mafile yako ya kuflash then drag&drop kwenye genymotion yatajiflash. niliflash google apps na arm libraly kwenye hii emulator bila shida.

root
usijali hii emulator tayari wameshairoot hivyo apps zako zote zinazohitaji root access zitafanya kazi.

user interface
muonekano wa genymotion ni kama wa simu tu, kila kitu kinafanana hivyo hutapata shida kuizoea.
BykrIFh.jpg

pia upande wa kulia kuna navigation keys kama back, home, menu, battery icon, rotate screen na gps.

jinsi ya kuidownload
hakikisha una mb za kutosha kama unaieka hii emulator minimum mb300 ila zinaweza kuzidi pia.

-nenda website hii katengeneze account kisha download genymotion.
Genymotion
kuna vifurushi vitatu chagua kifurushi cha bure.

yenyewe ina around mb 120 utainstall genymotion pamoja na virtual box na driver zake, process yote hii ni automatic just fata maelekezo itakayokupa.

-open genymotion then utaona kuna option ya start na add, kwa kuwa hatuna virtual device click add halafu utaeka account yako uliotengeneza hapo juu zitakuja simu mbalimbali chagua simu kutokana na uwezo wa pc yako. ukichagua s4 wakati pc ni kimeo ujue haitakubali.

ukishachagua simu itadownload then utaweza kuplay virtual device yako.

kuieka genymotion kama simu
genymotion yenyewe ni aosp kuibadili iwe kama oha inabidi uflash google apps na ueke arm libraly hivi vitu utavipata hapa.
-google apps
https://goo.im/gapps
-arm libraly
Genymotion-ARM-Translation_v1.1.zip (8.96 MB) free instant download - FileTrip

jinsi ya kuflash just drag and drop kwenye emulator itakuuliza kama unataka kuflash then bonyeza yes.

pia hizo google apps zipo nyingi chagua inayoendana na version ya virtual device yako. mfano ulidownload s3 yenye jelly bean 4.1 basi google apps tafuta package ya jelly bean 4.1

i hope utaenjoy hii emulator kama una swali niulize.
 
Kaka there is no such a thibg as best xyz kila kitu ni best ktk area iliyokuwa designed with weaknesses na strengths
Unless you define context then best becomes meaningless
 
je hicho kitu kikiwa all around ni bora? maana nimekaa nikafikiria advantage ya bluestack/youwave/andy/windroid over genymotion sijaiona.
 
Genymotion iko designed kwa ajili ya Android app developers na inapaswa kushindana na ADB.
Hizo ulizotaja sidhani kama lengo lilikuwa hilo pia, hapa sina hakika.
Lakini kama nilivyosema hapo juu kila moja ina swot. So best to you kulingana na features zake sio lazima iwe kwangu pia.
 
Mimi natumia laptop na ina window10 hivi siwezi ku download what's app nikatumia pekee bila kuwa na account ya simu
huwezi kueka whatsapp ya kawaida bila kui emulate, unatakiwa ueke android emulator kama hii Genymotion, Bluestacks, etc umeshajaribu kueka yoyote?
 
Mimi natumia laptop na ina window10 hivi siwezi ku download what's app nikatumia pekee bila kuwa na account ya simu

Whatsapp yoyote ya kwenye computer au inayoRun kwenye hizo virtual environment haziwezi kufanya kazi kama huna account kwenye simu yako. Ni lazima kwanza simu iwe online whatsapp then ndio ya kwenye computer ifunguke.
 
Lakini naomba kukuuliza chief kama mimi natumia not 2 Samsung lakini nikituma number ya uwakiki tars naambiwa haitambuliwi je itafungiwa simu yangu
 
Humu ndani suala la emulator ya android kwenye pc sio geni watu wengi wanaulizia jinsi ya kueka whatsapp kwenye pc na vitu kama hivi. kuna kipindi kuna game la android nilitaka kulicheza kwenye pc nikadownload emulator zaidi ya 5 za android bila mafanikio mwisho nikaja kufanikiwa kwa kutumia hii genymotion. emulator hii ni unique na pia inahitaji utaalam kidogo ila kwa muongozo mzuri ukifanikiwa kuieka utaelewa kwa nini hii ni bora.

suala la ram
Moja ya kitu nilichopenda kwenye hii emulator ni kwamba unajikuna unapojifikia, kwanini nasema hivi?

Genymotion inakuruhusu kudownload virtual device zenye resolution tofauti na ram tofauti, kuna virtual device kama galaxy s3, s4, nexus zote, xperia nk inamaana unachagua simu halafu ndio inakuwa emulator.

Mimi pc yangu ina ram 3gb hivyo nikadownload virtual device ya galaxy s3 yenye ram 1gb inamaana emulator yangu itachukua 1gb of ram na kuniachia 2gb kwa ajili ya apps nyengine,

Mfano wewe pc yako ina 1gb of ram hivyo unaweza download simu ya zamani kama htc nexus one yenye 512mb of ram ili kuweza kuirun emulator vizuri.

Nafikiri nitakuwa nimeeleweka nikisema suala la ram unajikuna unapojifikia, wale wenye pc za zamani mnaweza kuidownload.

pp1p3dK.jpg

android version
tofauti na emulator nyengine genymotion unachagua version ya android unayotaka, kuanzia android za zamani kama 2.3 hadi android mpya kama 4.4.4 kitkat

kuflash mafile
emulator hii inakuja na rom ya aosp bila service za google, ila inaruhusu kuflash mafile just download mafile yako ya kuflash then drag&drop kwenye genymotion yatajiflash. niliflash google apps na arm libraly kwenye hii emulator bila shida.

root
usijali hii emulator tayari wameshairoot hivyo apps zako zote zinazohitaji root access zitafanya kazi.

user interface
muonekano wa genymotion ni kama wa simu tu, kila kitu kinafanana hivyo hutapata shida kuizoea.
BykrIFh.jpg

pia upande wa kulia kuna navigation keys kama back, home, menu, battery icon, rotate screen na gps.

jinsi ya kuidownload
hakikisha una mb za kutosha kama unaieka hii emulator minimum mb300 ila zinaweza kuzidi pia.

-nenda website hii katengeneze account kisha download genymotion.
Genymotion
kuna vifurushi vitatu chagua kifurushi cha bure.

yenyewe ina around mb 120 utainstall genymotion pamoja na virtual box na driver zake, process yote hii ni automatic just fata maelekezo itakayokupa.

-open genymotion then utaona kuna option ya start na add, kwa kuwa hatuna virtual device click add halafu utaeka account yako uliotengeneza hapo juu zitakuja simu mbalimbali chagua simu kutokana na uwezo wa pc yako. ukichagua s4 wakati pc ni kimeo ujue haitakubali.

ukishachagua simu itadownload then utaweza kuplay virtual device yako.

kuieka genymotion kama simu
genymotion yenyewe ni aosp kuibadili iwe kama oha inabidi uflash google apps na ueke arm libraly hivi vitu utavipata hapa.
-google apps
https://goo.im/gapps
-arm libraly
Genymotion-ARM-Translation_v1.1.zip (8.96 MB) free instant download - FileTrip

jinsi ya kuflash just drag and drop kwenye emulator itakuuliza kama unataka kuflash then bonyeza yes.

pia hizo google apps zipo nyingi chagua inayoendana na version ya virtual device yako. mfano ulidownload s3 yenye jelly bean 4.1 basi google apps tafuta package ya jelly bean 4.1

i hope utaenjoy hii emulator kama una swali niulize.
Mkuu mi shida yangu ni app ambayo itafanya kazi kama bluestacks.ila isiwe hiyo.nataka kuinstall app ya mobdro
 
Kwa hiyo gelymotion haiji na googleplay ikiwa pre—installed???
huwa hairuhusiwi emulator yoyote kuwa na apps za google sababu google haitambui android ya computer. ndio maana unatakiwa uieke wewe mwenyewe mtumiaji na si wao
 
Mkuu mi shida yangu ni app ambayo itafanya kazi kama bluestacks.ila isiwe hiyo.nataka kuinstall app ya mobdro
zipo nyingi sana unaweza kuinstall kama os uka dual boot zipo
-android x86
-phoenix os
-remix os
ila hapo narecomend phoenix sababu ni nyepesi zaidi, app zake zina windows na ui ni kama os nyengine za computer

pia zipo emulator kama bluestack, hii genymotion, andy, youwave, windroy(windroid) etc hizi unaweka kwenye windows na nyingi zinatumia virtual box.

ila kwanini ueke emulator sababu ya mobdro tu? zipo njia nyingi sana za kuangalia mpira kwa pc
 
Lakini naomba kukuuliza chief kama mimi natumia not 2 Samsung lakini nikituma number ya uwakiki tars naambiwa haitambuliwi je itafungiwa simu yangu
huenda ikafungiwa ndio. umecheki na cpu-z kama ni original?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom