Najiuliza hivi wanawake wanakuaga nafeeling kama sisi? wife kasafiri hapa nilipo mpaka kazi haziendi....nina genye mpaka nachanganyikiwa....alafu kila demu namuona mkali......hata mama mpika chai namuona kasimama...hehehehe balaa hili.
Ila nitashinda tu majaribu maana bado wiki tatu arudi.
Ila nitashinda tu majaribu maana bado wiki tatu arudi.