gentleman

Kweli Mkuu, Binadamu...

"Give them an Inch and They Take a Mile"

Unaweza wewe ukawa mstaarabu wenyewe wakachukulia ni *****..., kwahiyo naona sometimes inabidi upime kama kitu hukipendi kabisa unamwambia mtu na unaonyesha kutokuridhika nacho, lakini compromise kwenye haya mambo lazima iwepo haya mambo madogomadogo uaacha na mwenzako nae afeel kwamba na yeye ni part ya "Captain wa Jahazi" lakini nadhani pia inabidi msichana na yeye akipata Gentleman basi ajaribu kuwa a LADY

Naamini compromise lazima iwepo kwa pande zote mbili...ikiwa upande mmoja tu....italeta taabu! Nafikiri uwazi katika mahusiano ni kitu kizuri sana, kama hupendi sema NO ukitoa na sababu, naamini mpenzio atakuelewa!
 
Ni kweli kabisa lakini inapofikia wakati mnavutana.., kuliko kushindana sometimes ni vizuri mmoja kukubali ili kuepusha shari.., lakini tatizo linakuja wakati mwingine unapo-compromise mwenzako anazoea na anakuona haufai badala ya ku-appreciate
 
Ni kweli kabisa lakini inapofikia wakati mnavutana.., kuliko kushindana sometimes ni vizuri mmoja kukubali ili kuepusha shari.., lakini tatizo linakuja wakati mwingine unapo-compromise mwenzako anazoea na anakuona *****... badala ya ku-appreciate

Ofcos, sio vizuri kama mwenzio anakubali yaishe, then wewe unamwona...........hapo sio sawa! Na mimi kwa uzoefu naona wanawake ndo rahisi sana kushuka kuliko hata wababa....they are always right..LOL
 
Ofcos, sio vizuri kama mwenzio anakubali yaishe, then wewe unamwona...........hapo sio sawa! Na mimi kwa uzoefu naona wanawake ndo rahisi sana kushuka kuliko hata wababa....they are always right..LOL

Ni kweli ndio maana kina mama ndio nguzo ya familia, uvumilivu na busara zao ndio zinafanya familia kuwa strong...

Unajua mwanamke akiwa wise anaweza akawa anafanya decision zote za nyumbani lakini mwanaume anadhani yeye ndio anazifanya,

Hata ushauri ukitoka kwa mapenzi ni tofauti na kama ukitoka kwa malalamiko..
 
Ni kweli kabisa VoR..si unajua hata maandiko yanasema...mwanamke mwenye hekima anaijenga nyumba yake, na mpumbavu anaibomoa kwa mikono yake mwenyewe! So ni muhimu kuwa na hekima...!
 
hii sredi gerentii inahitaji mchango wangu, lakini nasikitika sina muda wa kutosha. baadae nitakuja na blifkesi langu
 
wapendwa MMU,
ni udadisi tu...
Ni kwanini vdume walio na status ya kuitwa gentleman wanakuwa wahanga wa....
- kutamkiwa lolote na wenzi wao
-kubishiwa hata kama hoja yako kwa mwandani wako ni ya msingi
-kuingiliwa ktk ratba zako za kimaendeleo haijalishi umemweleweshaje mwenzi wako...
Nawakilisha......

mkesha hoi gentleman ni mwanamume anae waheshimu watu na pia anaesaidia watu wote wanaohitaji msaada wake pamoja na kujiheshimu period sasa huyo ambae anaefanyiwa hivi vitu hapo juu bila shaka ni gentlebwege
 
Ni kweli kabisa VoR..si unajua hata maandiko yanasema...mwanamke mwenye hekima anaijenga nyumba yake, na mpumbavu anaibomoa kwa mikono yake mwenyewe! So ni muhimu kuwa na hekima...!

Yaani hayo uliyosema nina uhakika kwamba:-
Keren_Happuch = A LADY...
 
wapendwa MMU,
ni udadisi tu...
Ni kwanini vdume walio na status ya kuitwa gentleman wanakuwa wahanga wa....
- kutamkiwa lolote na wenzi wao
-kubishiwa hata kama hoja yako kwa mwandani wako ni ya msingi
-kuingiliwa ktk ratba zako za kimaendeleo haijalishi umemweleweshaje mwenzi wako...
Nawakilisha......

Kuna wanawale wana take adavantage ya matendo mazuri ya waume zao hata wanaume wapo wa aina hiyo......ukiwa mpole sana au gentleman sana,uwe na mke muelewa ila ukiwa na mke asiyemuelewa au asiyekupenda sana ata mis-use wema wako!!!
 
Kuna club ya usiku ya wasichana wacheza tupu nayo inaitwa "Gentlemen Club", hawa vipi wanaharibu maana ya neno zuri kumbe!!
 
Back
Top Bottom