Genital mutilation of women: the Knife of Love?

Tunadumisha mila...

Ila tukubali white man ni kichwa! Hizi mila tunaanza kuzikandya kwa sababu mzungu kasema ni mbaya na inhuman!

To me, it seems we have delegated our capacity to think to the whiteman...My question is....why is it that we AFRICANS dont have our original thinking to determine what is good and bad for us? Mpaka tuambiwe?? au mpaka mwingine afanye?? na akibadili msimamo..na sisi unabadili..... Its scary..isnt it?

Tena wanaokuwa wa kwanza kukubali na ku-usaliti uafrika ni "Msomi wa Chuo Kikuu". Cha ajabu zaidi ni kwamba, wasomi hawa wanakuwa wepesi sana kuiga mambo ya kijinga ya whiteman na kuyaleta huku kwa akina yakhe kuliko mambo ya maana!
 
Kwanza ukisikia nadhani ungetoka nduki
Dah! mkuu ningeondoka bila kuaga na nisingerudi tena kijijini, kwa maana kukakamaa na kuvumilia maumivu ni kuonesha ujasiri: tena wakikata hiyo kitu haikutakiwa kudondosha chozi hata la kimyakimya!!....ije kuwa kutimka mbio mtuwangu unaonekana wa mama sana! Lakn bora kuonekana wa mama kuliko kutega kitu ikatwe na kisubutu, lolz
 
Inawezekana mila zikawa muhimu kwwtu lakizi si tungeziboresha katika utendaji wake? Kwa mfano kama ni circumsion si ifanyike hospitali au kwa kutumia vifaa bora na siyo crude tool? Same as GGenital mutilation kungekuwapo na sindano ya ganzi kam ni lazima kufanya kitendo hiki. Lakini kwa mazingira hizi mila zinafanyika ni ukatili tupu.
Nilijiapiza na nina-maintain kuwa Mtoto wangu hatafanyiwa circumsion kienyeji katu! Mimi nilikuwa wa mwisho kufanyiwa kitendo kile cha kikatili, sioni ushajaa wowote niliupata kwa kutairiwa kwa "TENGO" kale ka strip kanaposhia bandali ya bati wala kwa kukaa porini na siku ya kufanya dressing natomba kifuu cha nazi chenye maji ya vuguvugu ili kulaisha bendeji kabla ya kufungwa mpya.
Kam hizi mila ni muhimu tukubali kuzi-modernize ili ukatili uliomo ndani yake
 
Back
Top Bottom