Genes za kukua na kuzeeka- tutafakari

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wakuu

Huko majuu USA wanasayansi wanafanya utafiti na uchunguzi wa genome(genes) na DNA zinazosababisha au zinazozuia mtu kukuua kimwili na kiakili na baadaye Kuzeeka.

Uchunguzi wao wanaufanya kupitia mtoto/kijana Brooke Greenberg ambaye japo ana umri wa miaka 18 urefu wake ni inchi 31 na uzito wa Kg 7.5 tu na wataaalama wanakadiria uwezo wa ubongo wake ni wa mtoto wa kati ya miezi tisa(9) na mwaka mmoja.

Sasa tujiulize wanajamvi wa saysansi na teknolojia
Assume uchunguzi wa wanatalma ho umekamilika kwa mafaniko na wakagundua hizo genes na wakagudua namnaa ya kuziweza na kuziondoa au kuziweka kwenye mwili wa binadamu na asssume haitakuwa gharama kubwa kuondolewa genes ya kukua na hatiaye kuzeeka
  • Je wewe unadhani umri upi ni sahihi mtu kuondolewa kwa genes za kukua
  • Unadhani Sayansi hii itatahiri au kunufaisha vipi maisha ya binadamu duniani

Nawasilisha kwa mjadala
 
bila shaka watatafuta na za kuzuia kabisa kuzaa ili watu wasizidi uwezo wa dunia..we imagine watu wanazaliwa kila siku (hasa bongo huku) kibao halafu rate ya kufa ipungue duniani kutakalika humu...!! Mwacheni Mungu abaki kuwa Mungu tu...
 
Sijui nini unachosema ndio mtazao wangu
Tena huko majuu wazee ndio wengi. But ebu toa maoni yako tumuweke mungu pembeni japo kwa mjadala huu
Let say imekuja dozi hiyo bure wewe utapenda kukua kwako kusitishwe ukiwa na miaka mingapi?
 
sijui nini unachosema ndio mtazao wangu
tena huko majuu wazee ndio wengi. But ebu toa maoni yako tumuweke mungu pembeni japo kwa mjadala huu
let say imekuja dozi hiyo bure wewe utapenda kukua kwako kusitishwe ukiwa na miaka mingapi?
hata wakitoa bure na hela wanipe sikubali..
 
Kwene mjadala mmoja kuhusu hizi advancement za kisayansi dhidi ya kifo na kuzeeka (immortality) kuna mchizi mmoja alihoji kwamba why all the effort wakati hivi sasa watu hawajui wafanye kitu gani Sunday afternoon? Of coz without a doubt inabidi kuzuia kuzeeka ujanani wakati unaweza kujitegemea, ukizuia utotoni utapataje kipato? utakufa njaa..lol
 
Lakini pia kuna kasheshe maana kuna mammb ya ujanani tunayofanya au tuliyofanya soon tulipoapoanza kujitegemea mengine ni vituko na drama. Sasa si watu wtakuwa watu wa drama for ever.
 
Kuanzia miaka 25 process ya kuzeeka inaanza. kwa hiyo lazima watu wawe wanakaa kati ya 20 na 25, ila kama itawezekana akili iwe ya 30 to 40 hivi.Binafsi nasubiri kwa hamu siku nitakua 40 (for personal reasons...)
 
hata wakitoa bure na hela wanipe sikubali..

Sijui nini
naomba nikukosoe Naona hapa umetoa jibu la kisiasa. Japo nona hii sayansi ina hatari yake lakini maisha matamu bana. na uzee........ Kumbuka kutozeeka haina maana ya kutokufa maana ni watu wachache sana wanakufa kwa so called natural death.

Just after Puberty. Just to be and enjoy a top sexual gear for ever!!!! What do you think

Can u be more specific As i did not do well in Biology. tell me at wich age does puberty end ?
For me too as RR pointed I think 40-45 could be my choice
 
Can u be more specific As i did not do well in Biology. tell me at wich age does puberty end ?
For me too as RR pointed I think 40-45 could be my choice

Puberty simply defined is when your body changes from being a boy to a man, or a girl to a woman. that is when your body becomes very new and at its best, ready for reproduction. Hapo ndipo watu wanasema Damu inachemka.
To me that is not Biology! it is the experience i got during the time, years back.
:embarassed2: It will never come back. How sad I am!
May be science will bring it back before i die! I hope!
 
Back
Top Bottom