Generators information needed

Kibukuasili

JF-Expert Member
May 15, 2010
1,050
604
Natafuta website yenye maelezo ya kina kuhusu generators. Mafundi wa kibongo naona wanabahatisha. Nimeshauriwa na mafundi mbalimbali na ushauri wao una tofauti sana!! (from 25kva - 40kva) Sasa nataka ni find out mwenyewe. ABC za mambo hayo ninazo lakini si saana
 
Mantrac wana mafundi wazuri sana wa gen set na mitambo mingine ya earth moving. Umewajaribu ukaona wanabahatisha? They employ quafied people and train them alot.
 
Mkuu samahani lakini nahisi unachemka kwa kusema mafundi wa kibongo wanababaisha!

Masuala ya genereta ni rahisi mno ila wewe unavyoonekana haujui unachokitafuta ndo maana unataka upewe website. Weka shida yako hapa tutakusaidia. Tuambie unapata shida gani, ni make gani na inatumia Engine gani then we can sort you out.

By the way Genset ya 25kVA - 40kVA ni vidogo sana tu na hata matumizi yake mara nyingi ni household au kwenye ofisi ndogondogo kwa hiyo ni common sana tu.
 
Back
Top Bottom