William,- Cha muhimu ni kuelimishana mkuu the authorty wa Vita vya Nigeria na kwa nini tuliounga mkono maaasi, vipi ukiweka darasa hapa!!
William.
Mbona darasa lipo hapa hapa JF? Labda niwaombe mods waunganishe thread hii na thread iliyopita tulipojadilia Nigeriana civil war. Nina hakika ipo hapa. Kama haipo basi nipo tayari kabisa kuchangia ninayoyafahamu.