Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,534
- 8,619
ni kweli sarakikya kaleta wapanda milima wengi mno akiwa balozi....na kila mwaka hupanda nao.....
Maj. Sarakikya alikuwa karibu na wale waliotuhumiwa na uhaini wa mwaka 1971 ingawa hakuhusika moja kwa moja.
Hili la Sarakikya kuwa mhaini nililisikia hata mimi. Intelligence kipindi cha mwalimu ilikuwa juu na ndiyomaana aligundua na kumwondoa jeshini. Alitupwa Ethiopia na Nigeria na baadaye akaja kuozea Kenya. I believe the ol man regreted his actions.
Sasa wewe unayeandika paper sijui thesis yako ni nini katika hili. ningekuwa ni mwalimu wako ningekupa a flat C maana hujui ni wapi pa kutafuta research information. Hapa unaweza kupata leads to lakini data unaweza kuzipata mahala pengine. These are confidential informations na unless kuna declassification, you will end up with no substantive facts to back your thesis.
Hii ya Sarakikya kuondolewa jeshini haikuwa na mizengwe. Julius alimwita pale Msasani akampasha juu ya njama zake za kupindua serikali, Sarakikya akabaki mdomo wazi.
Kudi Shauri,
Mkuu umesema ukweli usiopingika yaani hizi ni habari za ndani ambazo hazikutungwa....Binafsi ktk hali tuliyokuwa nayo mbali na kuwepo tuhuma za kupindua nchi naweza kusema kwamba Sarakikya alipelekwa mahala ambapo angeweza kufanya kazi kiufasaha na kutumia elimu yake badala ya mitulinga...
Hata hivyo nimekutana na kipande hiki nadhani kizuri sana kutufungua zaidi kuhusiana Ulinzi na Majeshi yetu....
http://www.issafrica.org/index.php?link_id=21&slink_id=4403&link_type=12&slink_type=12&tmpl_id=3
Au tazama hapa