Gem baada ya ugomvi/rabsha kwa nini hunoga kwa mno ?

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Awali nilikua nikidhani labda ni kwangu tu! Siku zikapita huku nikifanya research siku baada ya siku kupitia watu tofautitofauti kwamba :-
Iwapo baina ya wapenzi wawili iwe mke Vs mume au Boy F Vs Girl F Pametokea ugomvi au any conflict between siku ya kumaliza ugomvi (refar ham'jakulana mavitu yenu for so many days) siku hiyo gem lazima iwe tough naweza kuifananisha na big match like "Laliga Super Classico! e.g Barcelona Vs Real madrid" Aidha ukali wa hilo gem huzidi hata ule wa mnapokutana kwa mara ya kwanza mwenza mmoja anapokua amerudi toka safari.
Na kwa kua hivyo ndivyo inavyokua je? Kuna ubaya gani tukianza baadhi ya wakati tuna'create bif from no where kwa malengo ya kufaidi havy gem after mediation dialogue takin' place ? (samahani kwa kuchanganya lugha naomba nieleweke katika kuandika hicho kii'english pia niko mazoezini kwani nasoma English corse na sijahitimu) hence by the time when am make error/mistake Jf mpo waelewa kibao msisite kunielekeza.
 
kwa kweli ulichokisema ni kweli tupu, maana hata mimi nilikuwa na ugomvi na mwenzangu, lakini kitu kama jana jioni tukaanza kuongea in a friendly way na leo alfajiri tukawa na gemu ambalo lilikuwa supa maana hadi alitoa machozi ya furaha....!!!
 
Ni saikolojia tu, a sense of relief kwamba mmemaliza tofauti zenu na sasa mambo yako barabara. Kwa kuwa kila mmoja anakuwa na furaha moyoni mwake kwamba yamekwisha; basi hata mwili na akili unakuwa relaxed. Ndio maana gemu huwa tamu sana.

Aaaah! Kwanza hata usikumbushe. Hizo gemu huwa hazina mfano, ni tamu balaa. Hazitofautiani sana na zile gemu za kuiba iba (stolen kisses/games are the sweetest) !!
 
Really? Ngoja nkafanye majaribio ila nikija na ngeu mjue mmeniponza.

usijali Kongosho nna imani atakaekupa ngeu ndiyo huyohuyo atakae kukanda maji ! Na mwisho wa kukandwa ndiyo sababisho la "Super Classico Match"
 
kwa kweli ulichokisema ni kweli tupu, maana hata mimi nilikuwa na ugomvi na mwenzangu, lakini kitu kama jana jioni tukaanza kuongea in a friendly way na leo alfajiri tukawa na gemu ambalo lilikuwa supa maana hadi alitoa machozi ya furaha....!!!

Asante Kiongozi kwa kumtendea haki nduguyo wa shuka moja! Net moja! Godoro moja! e.c.t
 
Ni saikolojia tu, a sense of relief kwamba mmemaliza tofauti zenu na sasa mambo yako barabara. Kwa kuwa kila mmoja anakuwa na furaha moyoni mwake kwamba yamekwisha; basi hata mwili na akili unakuwa relaxed. Ndio maana gemu huwa tamu sana.

Aaaah! Kwanza hata usikumbushe. Hizo gemu huwa hazina mfano, ni tamu balaa. Hazitofautiani sana na zile gemu za kuiba iba (stolen kisses/games are the sweetest) !!

Mkuu Masaki ! Umechungulia more far advance!
 
Mnataka kuifanya JF ifanane na Ze Utamu?? Mshindwe na mlegee!!!

Ma'mdogo! Hakika comment yako yaelekea mwenzetu hujapata ma'conflicts, quarrels, where by producin' stress with so foth! So far kila siku na Mr wako kwenu ni ceremony tu! "ASALI NA MADHIWA TU!"
 
Really? Ngoja nkafanye majaribio ila nikija na ngeu mjue mmeniponza.

utampoteza mazima, ila ni kweli gemu ua tamu kinoma! mpaka unasema mlikua na kiu ya miez mia nn? kumbe unakuta ni cku 3 tu mlikua kwenye ugomvi!
 
Mwenzi wangu ana tabia ya kuni provoke halafu nikikasirika tunapokuwa kunako 6x6 anaanza ku apologize kwa mahaba then na mimi namsamehe halafu linapigwa gemu halina mfano wake, kusema kweli gemu baada ya ugomvi ni nouuma, linanoga kichizi, nikagundua kumbe my sweetheart alikuwa anafanya makusudi kunichokoza kwa kuwa mzuka wake haupandi mpaka tugombane...LOL!
 
I love ur sanity level ulipokuwa unajibu hii comment

Ma'mdogo! Hakika comment yako yaelekea mwenzetu hujapata ma'conflicts, quarrels, where by producin' stress with so foth! So far kila siku na Mr wako kwenu ni ceremony tu! "ASALI NA MADHIWA TU!"
 
Eeeeeeh!!!!!! kumbe wenzangu game halichezwi kukiwa na conflict? mie sijawahi kulaza kiporo cha ugomvi na mwenza wangu. na tukigombana kabla utujapata suluhisho, kwanza game alafu aliyemkosea mwenzie aombe msamaha kabla siku haijaisha. ugomvi gani huo hadi kunyimana game! 3days mi siwezi.
 
Back
Top Bottom