Geita yageuka ukanda wa gaza

BULOLE BUKOMBE

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
488
109
Wana jf leo asubuhi kulikuwa na vurugu katika mji wa geita iliyosababishwa na wachimbaji wadogo waliokataa amri ya serikali kuondoka maeneo wanayochimba dhahabu na kuwaachia wawekezaji waliopewa eneo hilo katika vurugu hizo baadhi ya magari yamechomwa moto na mengine kuvunjwa vioo. Hali ilkuwaa mbaya zaidi pale mabomu ya machozi yalipokuwa yakipigwa pembeni kabisa uzio wa hospitali ya wilaya ya Geita kwani hofu ilitanda kwa wagonjwa lakini walitulizwa na wauguzi ambao wanaonekana kuizoaea hali hiyo, kuwa hiyo ni kelele tu haina madhara kwao moja kwa moja, kabla sijaondoka mjini hapo kuelekea Bukoba nilipata tetesi kuwa wachimbaji wawili wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi.
 
Nadhani kuna kila sababu ya kulivunja jeshi la polisi ili kuwanusuru watanzania wanao uwawa kila siku bila hatia wala sababu za msingi.
 
Kila mtu na atetee maslahi yake mwenyewe, serikali haiko kwa ajili yenu nyinyi wavivu wa kupambana mkisema nyumba ya mwoga nayo ni nyumba. Heri kufa shujaa kulikoni kufa kikondoo, ISHI HURU AU UFE UKIJARIBU KUWA HURU
 
Mkuu huwezi kufananisha ukanda wa Gaza na Geita...
 
ndio.geita wanamhitaji musa.awakomboe.kwa sasa hili la kuuliwa watu wa wili .basi umefika wakati huyu mkoloni mweusi atoke.madarakani.wakati bdo magamba hawajui pa kuziweka familia zinazo ishh kwenye ofisi ya sungusungu.katika mahema yaliyoraruka pale geita.wanawafurusha tena wengine. Hapa bila nguvu ya uma.mkoloni huyu mweusi atatumaliza.manake huyu hana huruma.kabisa.watz.tuamke.
 
unachukua ardhi yao na kuwapa wageni wao waende wapi ?? halafu kesho wanashangaa kwanini watu wanawakataa
 
Back
Top Bottom