Geita wilaya tajiri kwa madini lakini maskini kuliko zote tz

Terex

Member
Jan 15, 2012
27
8
Ndg mwana jamvi hivyo ndivyo geita ilivyo kila mahali ni vumbi,hakuna huduma za maana za jamii kama vi hosp,shule,maji safi na salama,zahanati na nk,lakini inavyosikika nje kama vile ni sehemu mahalumu sana,bora
2015 ifike haraka jamani tumechoka na hawa magamba.
 
Dah umepaona eeeeh, cha ajabu kila uchaguzi huwa mshindi halali wa ubunge wanamchakachua. Mpaka sasa Geita hamna maji safi ya bomba cha ajabu kule mgodini kuna maji ya kutoka ziwa Victoria. Wapumbavu hawa wanakera sana(Serikali).
 
Nadhani Umefanywa Mkoa? Ili Uendelee Tatizo ni Mpangilio Mbovu wa Viongozi wetu tumewapa Madini Wazungu kama yao na asilimia 4 inaonekana inatosha hawatoi misaada ya kujenga barabara, shule, Parks za kupumzikia Wananchi, shule au Library kila kitu wakiombwa wanagoma sababu ya Mikataba waliosaini na walipata baraka za IMF.

Kwahiyo Mpango unaotakiwa ni kama CCM ikianguka 2015 na chama kitachoshinda kiwatishe kama Argentina walivyofanya mnataka tuwafilisi au mkubali asilimia 45 iwe yetu.
 
Hii ni hatari jamani,ipo haja ya maandamano nchi nzima kuwashinikiza hawa wawekezaji walete maendeleo kwenye sehemu walizowekeza.
 
Back
Top Bottom