Elections 2010 GEITA watumia Daftari la zamani

Endeleaaa

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
1,485
738
Kuna habari huko Geita kuna kituo wanatumia Daftari la mpiga kura la 2005 baada ya daftri la 2010 kukosekana.

Ama kweli NEC mwaka huu imeboronga balaa....
 
Hii kali kwahiyo waliojiandikisha upya hawapa nafasi ya kupiga kula. Ndio maana nasema sasa Tanzania tunahitaji electral college badala ya tume ya uchaguzi ili tuwawajibishe wakikosea. Sasa hivi wanabakia chini ya Rais ndiye aamue kuwawajibisha au hapana.
 
Hili swala la kutumia daflari la 2005 nahisi kuna makusudi mazima yanafanyika ili kupunguza nguvu ya vijana ambao ndio wanamwamko mkubwa wa kuiondoa madarakani serikali ya CCM. Nini kifanyike?
 
Kuna habari huko Geita kuna kituo wanatumia Daftari la mpiga kura la 2005 baada ya daftri la 2010 kukosekana.

Ama kweli NEC mwaka huu imeboronga balaa....

Siyo kuboronga ni mpango mahsusi wa kuvuruga uchaguzi. Kama kila kitu kitakuwa smooth CCM hawana chao. Wanataka kuahirisha baadhi ya majimbo ili kuyachukua kwa piecemeal Maana ni rahisi kuchakachua jimbo moja bila kuamsha hamasa kwa nchi nzima, ila ni hatari kufanya hivyo kwa nchi nzima.
 
Mtu mwenye uhakika na swala hili atoe taarifa haraka. Namba za simu zimetolewa ktk thread moja.
Plz play your part.
wewe uliyeleta hizi habari, tunakuomba sana wasiliana na aliyekupa taarifa hii ili akupe uhakika zaidi na kisha uweze kutumia moja ya simu hizo kuwajulisha wahusika.

Asante sana na tuko wote
 
Kuna habari huko Geita kuna kituo wanatumia Daftari la mpiga kura la 2005 baada ya daftri la 2010 kukosekana.

Ama kweli NEC mwaka huu imeboronga balaa....

Tafadhali pata more information; ni kata ipi na kituo kipi? Au ni jimbo lote la Geita??
 
Hiyo ni njama wa kutaka vijana wasipige kura. Sio kwamba wanaborong, ni makusdi kabisa. Lishughulikiwe hilo
 
Back
Top Bottom