GEITA: Mchina amshushia kipigo kijana wa kitanzania hadi kumsababishia kifo

Yaani sijui nisemeje ila wanume wa huko ni wa hovyo sana,huyo gasho wa kichina saa hizi angekua anaimbiwa mapambio ya kuagwa wallah,unaanzaje kunishika hata tai ndani ya ardhi yangu?naomba sana mambo haya yanitokee ili nitoe funzo kwa hao magasho
 
Nambona Rizi 0ne alipo kamatwa china na madawa ya kulevya walitaka anyongwe kule kulee na baba yake akakwea pipa kwenda kumwokoa mwanaye kwa kugawaa Gesi ya mtwara kwa wachina ili 2 mtoto wake awe salama leo hii tumepigiwa mtu wetu ngozi yetu nyumbani kwetu barani kwetu viongozi wanashindwa kulitendea maamuzi hili jambo na mpaka sasa sijasikia media yoyote ikimwongelea huyoo mchina mpumbavu adiyekuwa na adabu pimbi yeye na nchi yake serikali ya CCM ina mwangalia 2 jama tunaerekea wapi hii nchi hata kama watanzania tuwe wapole but siyoo kwa style hiii tunazalilishwa nyumbani tena siyoo sebuleni nichumbani kabisaa nyumbani kwetu tunamwangalia hivi hivi jamaaa imeniuma sana!!!! Pole familia ya marehem .
 
Sijasikia ata kauli ya Kiongozi yeyote mpaka sasa ata Kiongozi Wa polisi waandishi Wa habari hizi ndio habari za kufuatilia kwa uchunguzi Na kuleta ukweli Na haki itendeke
Subiri turudi tuko Dodoma kuimarisha ulinzi
 
Kwani ilikuwaje wakuu?
1469346899132.jpg
1469346907723.jpg
1469346915723.jpg
alidai nyongeza ya mshahara
 
Mod, ume-merge Uzi unaotaka update na ulioleta taarifa..huu Uzi umekuja kwa lengo la kupata mrejesho wa Uzi wa Jana. Mbona mnakuwa na ubabe wa kichina???
 
Hawa ndiyo wawekezaji katika serikali ya Kikwete. Kulikuwa hakuna sheria ya kuwachunga masikini. Ilikuwa ni pesa tu unahonga hata kama umeuwa. . Pengine huyu Muchina hajuei kama sasa tuna Rais ambaye anatetea masikini. Tukio hili limetokea Geita ambako mukombozi wa masikini katokea, I hope hatatoroka na lazima kampuni yake ifungwe na amufidie march emu kabla ya kwenda jela maisha like fundisho kwa wageni wengine.
Kijana mmoja aliyejukikana kwa jina moja (Elisha) mkazi wa Kabindi Mkoani Geita amefariki Dunia baada ya kupigwa na mchina kwa jina "Mr. Swii" kwa madai ya kwamba alilalamika ili wapandishiwe ongezeko la mshahara. Taarifa zinadai waliopigwa wengine wawili wako hospitali kwa matibabu zaidi.

View attachment 369629

Marehemu alipopigwa akaenda Hospitali na baada ya hapo aliambiwa arudi kazini huku hali yake ikiwa mbaya na ndipo alipodondoka na kuzimia na wakafanya jitihada ya kumpeleka hospitali ya Mkoa kabla ya kufariki Dunia.

View attachment 369630

Tukio hili limetokea katika Mgodi wa Nyamahuna uliopo Katoro Mkoa wa Geita. Mgodi huu unachimba Dhahabu na Shaba.

View attachment 369631

Mashuhuda wanasema kuwa "Mr. Swii" pamoja na walinzi wa Mgodi huo ndio waliohusika katika kuwapiga Wafanyakazi hao na kupelekea mfanyakazi mmoja kufariki Dunia kwa Kipigo hicho..
 
Kupiga mtu mpaka kufa ni unyama lakini bado sijaamini kuwa mtu kupigwa hivyo ni sababu kuomba nyongeza ya mshahara !! kuna lingine tu
 
Back
Top Bottom