Geita 'kimeumana': Madiwani wa CCM wamkataa mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya

nkomelo

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
216
44
wadau nimepata taarifa kutoka Geita kuwa mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Geita bwana Msukuma ametakiwa na madiwani wenzake wa CCM kujihuzuru nafasi yake ya uenyekiti wa Halmashauri.

Bwana huyu amekuwa akitoa madai ambayo hakufanikisha kuyathibitisha dhidi ya watendaji wa halmashauri hiyo, Mf alidai eneo la hospital limeuzwa alipotakiwa kuthibitisha akashindwa, aliwahi kudai anandaa maandamano ya kupinga uwepo wa mgodi wa GGM jambo ambalo hata hivyo hakulitekeleza hadi muda aliouweka ulipopita.

Waliopo Geita tutafurahi mkitupa updates.

Mkuu hapo kwenye Red ndo nini Mwanakwetu, Kama ulimaniisha Kujiuzulu Naomba iwe hivyo,hata kwa Mkwe.re itakuwa Poa tu akijiuzulu

wadau nimepata taarifa kutoka Geita kuwa mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Geita bwana Msukuma ametakiwa na madiwani wenzake wa CCM kujihuzuru nafasi yake ya uenyekiti wa Halmashauri.

Bwana huyu amekuwa akitoa madai ambayo hakufanikisha kuyathibitisha dhidi ya watendaji wa halmashauri hiyo, Mf alidai eneo la hospital limeuzwa alipotakiwa kuthibitisha akashindwa, aliwahi kudai anandaa maandamano ya kupinga uwepo wa mgodi wa GGM jambo ambalo hata hivyo hakulitekeleza hadi muda aliouweka ulipopita.

Waliopo Geita tutafurahi mkitupa updates.

kwanza kama watakuwa wamemkataa mie sitashangaa,maana nahisi huyu jamaa ni mzigo mkubwa kwa wana mwanza,nimemwona zaidi ya mala kumi katika tv tangu achaguliwe,just imagine hata mwaka bado ten times in tv mkt wa wilaya tu! nazani anapenda sifa sana.

Daa!uko Geita kunatisha uliona jn ppo walivochoma nyumba ya mganga wa asili wakidai ni eneo la soko n.k
Huyo mwenyekiti angalie coz ppo hawataki mchezo
Bt cdm u ril run rock city

Sio tetesi ni kweli madiwani wenzake wa CCm wamekutana jana na kujioroodhesha takribani madwani 48. Kwanza mgodi wa GGM ulikuwa ulete maji kupitia eneo linaitwa Nungwe lakini yeye akakataa kuwa hayo maji yana sumu bila kuthibitisha kitaalamu, yeye anataka maji yapite Senga ambako inaonyesha gharama ni kubwa ukilinganisha na Nungwe. Pili amekuwa akifanya mikutano ya hadhara na kutuhumu watumishi wakati hana uthibitisho wowote. Tatu amekuwa akiwatisha Wakandarasi na kuwaomba rushwa ili aweze kusaini mikataba, bila hivyo hawezi kusaini mikataba, matokeo yake anachelewesha kazi za maendeleo.

3.jpg

4.jpg

Ni kweli sakata limemalizwa na Kandolo muda mfupi uliopita madiwani wameambiwa waanadae udhibisho wa maandishi dhidi ya Mkt huyo pia mkutano wa hadhara uliokuwa umeandaliwa na Mkt huyo umezuiwa na polisi

Eeeh wao kwa wao wanapigana mikwala,safi sana wavuane magamba tu.

Waige mfano wa CDM wasimuhukumu bila kupewa nafasi ya kusikilizwa. Ikithibitika atimuliwe

wadau nimepata taarifa kutoka Geita kuwa mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Geita bwana Msukuma ametakiwa na madiwani wenzake wa CCM kujihuzuru nafasi yake ya uenyekiti wa Halmashauri.

Bwana huyu amekuwa akitoa madai ambayo hakufanikisha kuyathibitisha dhidi ya watendaji wa halmashauri hiyo, Mf alidai eneo la hospital limeuzwa alipotakiwa kuthibitisha akashindwa, aliwahi kudai anandaa maandamano ya kupinga uwepo wa mgodi wa GGM jambo ambalo hata hivyo hakulitekeleza hadi muda aliouweka ulipopita.

Waliopo Geita tutafurahi mkitupa updates.

nimeangalia taarifa ya habari itv,inaonekana huyu bwana anakubalika na wananchi hilo ni moja,lakini lakushangaza zaid ni hata mkuu wa mkoa wa mwanza anamuunga mkono.napata picha madiwani wa ccm geita hawana akili timamu kama ilvyo kawaida ya wana-ccm kwakua imeonekana hawakufata taratibu za kumtuhumu.hizi ndizo mbegu za akina yusufu makamba

Sio tetesi ni kweli madiwani wenzake wa CCm wamekutana jana na kujioroodhesha takribani madwani 48. Kwanza mgodi wa GGM ulikuwa ulete maji kupitia eneo linaitwa Nungwe lakini yeye akakataa kuwa hayo maji yana sumu bila kuthibitisha kitaalamu, yeye anataka maji yapite Senga ambako inaonyesha gharama ni kubwa ukilinganisha na Nungwe. Pili amekuwa akifanya mikutano ya hadhara na kutuhumu watumishi wakati hana uthibitisho wowote. Tatu amekuwa akiwatisha Wakandarasi na kuwaomba rushwa ili aweze kusaini mikataba, bila hivyo hawezi kusaini mikataba, matokeo yake anachelewesha kazi za maendeleo.
Maji ya Nungwe kwa taarifa nilizopata ni mazuri ila anataka yapitishiwe eneo lingine ambako anategema kupata kura 2015.

Back
Top Bottom