gego linauma

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
nasumbuliwa kweli na gego lililotoboka sehem ndogo tu ila linamwaga maumivu balaa. Sitaki kuling'oa bali nataka nipate dawa ya kulitibu jinsi lilivyo. Msaada plz
 
gego halafu limetoboka?? au jino limetoboka?? si uende kwa dentist....
 
kama limetoboka limesha haribika, litaendelea kuuma na kulika and by the time unaamua kwenda kwa dentist litakua limesha bomoka bomoka na atalin'goa kwa tabu sana. Ukienda sasa anaweza kujaza plumb ndani yake.
 
poa wandugu. Gego linauma sana. Nikikosa tiba mbadala itabidi niling'oe
 
It is painful because the caries has gone very deep to involve the living part of the tooth where there are blood vessels and nerves (pulp),it can still be saved however if you want to retain your tooth, it needs a procedure called root canal treatment where by nerves will be removed from the roots and it will then be filled

asante ndugu. Kwa hiyo hii kitu hadi hospitali sio?
 
ni lazima uende hospitali ili upate appropriate treatment, Use of antibiotic and analgesics can relief you from pain and prevent further spread of infection but this is not a definitive treatment, because if you delay going to the hospital the infection can progress through the root canal to the apical part of the root and cause localized collection of pus ( dentoalveolar abscess) which also can cause other serious complication if not attended,so the best way is go to the dentist immediately
 
Most of the people have got very wrong perception towards dental caries (rotten teeth) and other problems related to oral health,tooth extraction is completely discouraged and should only be done if all other procedures have failed, this is due to a number of reason one being it can cause poor arrangement of the teeth (malocclusion), so it always advised to retain your teeth
 
ni lazima uende hospitali ili upate appropriate treatment, Use of antibiotic and analgesics can relief you from pain and prevent further spread of infection but this is not a definitive treatment, because if you delay going to the hospital the infection can progress through the root canal to the apical part of the root and cause localized collection of pus ( dentoalveolar abscess) which also can cause other serious complication if not attended,so the best way is go to the dentist immediately

nashukuru mkuu kwa ushauri huu. Ni kweli sitamani kung'oa jino kwani si lote limeharibika bali sehemu tu. Ila ni kweli kwa jinsi siku zinavyosogea naona maumivu ya ajabu ajabu tu. Pia nitashukuru kama utanielekeza kwa dentist mzuri hapa dar
 
nashukuru mkuu kwa ushauri huu. Ni kweli sitamani kung'oa jino kwani si lote limeharibika bali sehemu tu. Ila ni kweli kwa jinsi siku zinavyosogea naona maumivu ya ajabu ajabu tu. Ngoja niulizie dk na hospitali nzuri ya meno
Kama unaweza kufanya root Canal ni sawa ila ni very costly, Jino moja nilifanya kwa karibu 350,000/-, Manake kuna viprocedure kidogo. Kung'oa ni balaa , nina kama siku tano toka nimeng'oa jino ,hali ni mbaya maumivu kwa kwenda mbele, lakini nilisikitishwa na namna nilivyong'olewa, it is too mechanical!!
 
pole sana. Ngoja nitafuatilia hiyo ya root canal
 
Back
Top Bottom