Elections 2010 GDP ndiyo kipimo cha Umaskini, Dr. Slaa alikuwa sahihi?

Vigezo vya kurank nchi viko vingi inategemea unatumia vigezo vip?
Stop being myopic hukusoma DS chuoni?on develepment?
Pitia sorce mbalimbali lafu ndoo uje na hoja zako apa

Hukusoma thread? Nimepitia SOURCE 10 ZOTE zinacheza + au - kidogo tu. Kwa maneno mengine nafasi ya 30 ni wastani.

Nyie acheni tu, kuitoa nchi toka kumi bora katika umasikini mpaka Nafgasi ya 30 si mchezo.

Amini nakwambia baada ya miaka 5 tunacheza katika kumi bora tajiri Afrika. Mnachotakiwa ni kutofanya kosa na kumpa nchi KILAZA.
 
Economy - overview:
Tanzania is in the bottom 10% of the world's economies in terms of per capita income. The economy depends heavily on agriculture, which accounts for more than one-fourth of GDP, provides 85% of exports, and employs 80% of the work force. Topography and climatic conditions, however, limit cultivated crops to about 4% of the land area. Industry traditionally featured the processing of agricultural products and light consumer goods. The World Bank, the IMF, and bilateral donors have provided funds to rehabilitate Tanzania's aging economic infrastructure and to alleviate poverty. Long-term growth through 2005 featured a pickup in industrial production and a substantial increase in output of minerals led by gold. Recent banking reforms have helped increase private-sector growth and investment. Continued donor assistance and solid macroeconomic policies supported a positive growth rate, despite the world recession.
GDP (purchasing power parity):
$57.69 billion (2009 est.)
country comparison to the world: 85
$54.43 billion (2008 est.)
$50.66 billion (2007 est.)
note: data are in 2009 US dollars
GDP (official exchange rate):
$22.32 billion (2009 est.)
GDP - real growth rate:
6% (2009 est.)
country comparison to the world: 19
7.4% (2008 est.)
7.1% (2007 est.)
GDP - per capita (PPP):
$1,400 (2009 est.)
country comparison to the world: 204
$1,400 (2008 est.)
$1,300 (2007 est.)
note: data are in 2009 US dollars
GDP - composition by sector:
agriculture: 26.4%
industry: 22.6%
services: 50.9% (2009 est.)
Labor force:
21.23 million (2009 est.)
country comparison to the world: 30
Labor force - by occupation:
agriculture: 80%
industry and services: 20% (2002 est.)
Unemployment rate:
NA%
Population below poverty line:
36% (2002 est.)
Household income or consumption by percentage share:
lowest 10%: 2.9%
highest 10%: 26.9% (2000)
Distribution of family income - Gini index:
34.6 (2000)
country comparison to the world: 89
38.2 (1993)
Investment (gross fixed):
17.6% of GDP (2009 est.)
country comparison to the world: 117
Budget:
revenues: $4.208 billion
expenditures: $5.159 billion (2009 est.)
Public debt:
21.4% of GDP (2009 est.)
country comparison to the world: 103
19.6% of GDP (2008 est.)
Inflation rate (consumer prices):
12.1% (2009 est.)
country comparison to the world: 206
10.3% (2008 est.)

Source:CIA World book Facts
 
Ya mwaka 2005 ni ya Mkapa, hivyo siwezi kujadili leo. HAYA tutayafungulia thread nyingine.

Leo ni mambo ya KIKWETE NA Mh SLAA. UKWELI AU UONGO. MJUE MOJA MUONGO IKULU HAIGUSI NG'O.

Zawadi
Mi naendesha biashara ya danguro hukoooo Tabata. Nakuhitaji huko ukahudumie wateja.
 
Aaaaah ngoda, usijikoshe bana ushawahi kuwa na heshma na Dr slaa ,ng'onda nimekufaam kwa negative posts zako juu ya DR, Endelea malizia kazi yako 31 ndo mwisho wa ajira yako afu unapigika kama sisi.
 
Zawadi hicho unachoongelea siyo GDP (ambalo ni pato ghafi la Taifa) bali ni GDP per capita (pato kwa kila Mtanzania). Huu mtandao siyo offcial; tembelea websites za World Bank, IMF, au UNCTAD utaelewa vizuri somo hili zaidi.

Lakini vile vile inategemea Dr. Slaa alitoa takwimu kwa kubase kwenye njia ipi ya kukokotoa GDP per capita, kwa sababu ziko njia zaidi ya moja na kila moja inakuwa na figures tofauti.
 
Economy - overview:
Tanzania is in the bottom 10% of the world's economies in terms of per capita income. The economy depends heavily on agriculture, which accounts for more than one-fourth of GDP, provides 85% of exports, and employs 80% of the work force. Topography and climatic conditions, however, limit cultivated crops to about 4% of the land area. Industry traditionally featured the processing of agricultural products and light consumer goods. The World Bank, the IMF, and bilateral donors have provided funds to rehabilitate Tanzania's aging economic infrastructure and to alleviate poverty. Long-term growth through 2005 featured a pickup in industrial production and a substantial increase in output of minerals led by gold. Recent banking reforms have helped increase private-sector growth and investment. Continued donor assistance and solid macroeconomic policies supported a positive growth rate, despite the world recession.
GDP (purchasing power parity):
$57.69 billion (2009 est.)
country comparison to the world: 85
$54.43 billion (2008 est.)
$50.66 billion (2007 est.)
note: data are in 2009 US dollars
GDP (official exchange rate):
$22.32 billion (2009 est.)
GDP - real growth rate:
6% (2009 est.)
country comparison to the world: 19
7.4% (2008 est.)
7.1% (2007 est.)
GDP - per capita (PPP):
$1,400 (2009 est.)
country comparison to the world: 204
$1,400 (2008 est.)
$1,300 (2007 est.)
note: data are in 2009 US dollars
GDP - composition by sector:
agriculture: 26.4%
industry: 22.6%
services: 50.9% (2009 est.)
Labor force:
21.23 million (2009 est.)
country comparison to the world: 30
Labor force - by occupation:
agriculture: 80%
industry and services: 20% (2002 est.)
Unemployment rate:
NA%
Population below poverty line:
36% (2002 est.)
Household income or consumption by percentage share:
lowest 10%: 2.9%
highest 10%: 26.9% (2000)
Distribution of family income - Gini index:
34.6 (2000)
country comparison to the world: 89
38.2 (1993)
Investment (gross fixed):
17.6% of GDP (2009 est.)
country comparison to the world: 117
Budget:
revenues: $4.208 billion
expenditures: $5.159 billion (2009 est.)
Public debt:
21.4% of GDP (2009 est.)
country comparison to the world: 103
19.6% of GDP (2008 est.)
Inflation rate (consumer prices):
12.1% (2009 est.)
country comparison to the world: 206
10.3% (2008 est.)

Source:CIA World book Facts

Pazuri hapo!!!!!! "country comparison to the world: 85 "

Mimi sisemi! Hivi unajua duniani kuna nchi ngapi?

KUNA NCHI 193. SISI NI WA 85. JAMANI HIVI MNATAKA NINI TENA!!!!!!! NA kwa mpango huo ya kwanza ni marekani. yaani sisi ni wa 85 toka marekani, na namba hiyo hatujawahi kuishika. Ndege linapaa tu kama jet fighter.
 
Zawadi,

..achana nao hao.

..katika suala la AMANI, Tanzania ni nchi ya kwanza duniani.
 
nAKUSHUKURU SANA KWA takwimu hizo. Lakini jaribu kuhesabu toka juu uone Tanzania iko ya ngapi?

Mimi nimehesabu na nimepata kuwa TANZANIA toka juu ni ya 30. Hivyo bado niko sahihi.

Hata hivyo nakushukuru sana kwa uwazi. Nasisitiza tena na tena, kuwa kuwa katika nafasi ya 30 haimaanishi kuwa hatuna matatizo ya uchumi, bali ilikuwa ni kujmsahihisha Mh Slaa kuwa aliyoyasema si kweli. Na huwezi kwenda ikulu kwa kudanganya.

Narudia tena, kuwa yaweza kuwa nimehesabu vibaya, nawaomba wenzangu mbofye hapa na uhesabu nafasi ya TZ:
GDP per Capita in Tanzania | Global Property Guide

Haingii mtu ikulu kwa kudanganya!

Dada Zawadi nahisi una supplimentary ya uchumi chuoni bila kujijua manake umemwaga pumba as if uchumi huujui, baada ya uchguzi uje nikupige brash kwenye National Income, kuhusu malipo TUTAELEWANA! Be serious kwenye ishu nyeti na kama wewe si mtaalamu kwenye uchumi kaa kimya, yaani wewe mdhalo mzima umedaka sentensi moja tu ambayo hukuielewa na kukurupuka bila kuuliza kwanza wataalamu wa uchumi?? sasa cha ajabu kipi kwani Tanzania sio nnchi maskini?? shame on you.
 
Zawadi,

..achana nao hao.

..katika suala la AMANI, Tanzania ni nchi ya kwanza duniani.

Neno AMANI ni pana inategemea unamaanisha nini, watanzania hatuna imani wala amani na CCM, chama kimejaa majambazi halafu wewe unajisifu eti TZ kwa amani ni NO 1 DUNIANI??
 
Huo mtandao anaotumia Zawadi siyo authority katika masuala world economics. Namshauri atembembelee websites za IMF, WB, UNCTAD na ILO atajifunza zaidi.

Lakini vile vile akumbuke ya kwamba kuna njia zaidi moja ambazo zinatumika kukokotoa GDP per capita, na kila moja inatoa figures tofauti. Hivyo, inategemea Dr. Slaa alitumia njia na website ipi.

Isipokuwa ninachomwambia Zawadi ni kwamba Tanzania tumo kwa lile kundi la "poorest countries" wakati hatujawahi kupigana vita zaidi ya vile vya Idd Amin. Na pia tunazo rasilimali anuwai, ambazo zinavunwa na mafisadi wa ndani na nje ya Tanzania.
 
wewe acha ujinga ulichoonyesha ni GDP per capita na alichoongelea Slaa ni kipimo cha umaskini ambao ni amount of people living under one dollar sasa tofautisha hilo na pia unaweza kuwa na GDP kubwa nchini lakini percent ya watu wanaoishi under one dollar ikawa kubwa kama kuna unequal distribution of wealth kama Tanzania! Usifanye wote wajinga humu ndani kuna Economists humu ndani!
 
chadema kweli nyie hamfai, NIMEWANYOSHEA MIKONO. Mbwembwe nyingi za nini, si ungetuletea hapa hizo data za Mashirika unayoyaamini na kunieleza kuwa Zawadi, umenowa Mh Slaa alikuwa sahihi. Angalia data za WB, au IMF au........

Wewe waandika tu hata data huna. Nyie bure kabisa. Sioni cha kuizungumza nanyi.

Aliyejitahidi kidogo alikuwa Kagemero angalau akatoa mtandao.

unajua kwanini hutaki kutoa mtandao? kwa sababu mitandao yote itawasuta na kudhihirisha kuwa Mh Slaa ni Muongo.
 
wewe acha ujinga ulichoonyesha ni GDP per capita na alichoongelea Slaa ni kipimo cha umaskini ambao ni amount of people living under one dollar sasa tofautisha hilo na pia unaweza kuwa na GDP kubwa nchini lakini percent ya watu wanaoishi under one dollar ikawa kubwa kama kuna unequal distribution of wealth kama Tanzania! Usifanye wote wajinga humu ndani kuna Economists humu ndani!

Geza ulole, Geza ulole, Kweli wewe ni mchumi mbumbu. Hivi wewe ndio uliyemshauri Mh Slaa aseme uongo. Unaona mmeumbuka, tena siku za mwisho za kampeni.

Unajua gharama ya kosa hilo mlilofanya? Ni kuua CHAMA.

Sasa nakuomba kitu kimoja, nipe hizo data za dola 1 kwa siku. Naomba chanzo.
 
NDUGU YANGU ni siku tatu toka atoe ule mdahalo, kwa vile mimi ni mtu makini skutaka kukurupuka na kuweka hoja zangu hadharani. Nimewauliza viongozi wa CHADEMA hapa Magomeni (sio Mh Slaamwenyewe), hakuna aliyenipa source.

Nimeendelea kuwaomba hapa mtandaoni, vigezo au taasisi alikochukua hizo takwimu. Wote mnakuja na majibu kama yako, hujui.....hujui ......hujui alikochukua takwimu. Sasa mimi nashangaa, mbona takwimu kama hizo huwekwa mtandaoni na sio siri, hivi hakuna hata mmoja kati yenu anayeweza kutudokeza kule alikozipata hizo takwimu?

Sasa nakuomba wewe utupe SOURCE ya Mh Slaa alikozipata hizo takwimu. HAKIKA MIMI NITAOMBA RADHI HAPA JF kama itathibitishwa kuwa maneno yangu ni uongo. Vinginevyo Mh Slaa atakuwa ni Bomge la MUONGO!

SASA TUWE MAKINI TUACHANE NA KAMPENI, TUZUNGUMZIE UCHUMI
.

Kwanj hujui kama Dr Slaa ni muongo na sio mara ya kwanza kusema uongo
Alitaja orodha YA MAFISADI wate wakamshitaki siju kesi ziliishia wapi
Infwaki yeye ndiye aliyesababisha hizo pesa za EPA zirudishwe
 
Kaka unachozungumzia ww ni Gross Domestic Product (GDP) whch is th measure of a country's overall economic output. It is the market value of all final goods and services made within the borders of a country in a year. So, GDP kwa Tanzania ni $ 1,421

But Dr Slaa alikuwa anazungumzia Gross National Income (GNI) consists of the personal consumption expenditures, the gross private investment, the government consumption expenditures, the net income from assets abroad (net income receipts), and the gross exports of goods and services, after deducting two components: the gross imports of goods and services, and the indirect business taxes.
The GNI kwa Tanzania: $255.97 per person.

Note: The GNI is similar to the gross national product (GNP), except that in measuring the GNP one does not deduct the indirect business taxes.

So don't u dare to call Dr PhD W.P. Slaa muongo, coz huwa haropoki tu mkuu, huwa anakusanya data kabla ya kuongea..!! Sio kama nanhiii

Kama hajaelewa na hapa basi akachukue kopo akachambe.
 
Back
Top Bottom