Gazeti: Viongozi Chadema Wanamiliki Silaha za Kivita

The Prophet

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
682
94
Gazeti la Jamba Leo limeendelea kutoa ushuzi; na katika hali inayoonesha ni kukuza mambo kinafiki na kishabiki, gazeti hili la propaganda za UVCCM limeibuka na habari yenye headline ambayo inaonekana ni kutaka kutaharukisha jamii.

hata hivyo habari hiyo haijanikuna kabisa kwani haina tofauti na habari ya kitapeli iliyopewa umaarufu usiostahili ya "CCM kujivua gamba".

Nawashauri wahariri wa Jamba Leo wawe waangalifu na headline za kutafuta umaarufu, kwani wakiendelea, gazeti lao litafulia kama yalivyofulia Mtanzania na Rai.
 
mods, tusaidieni kubadili hilo neno la kwanza ktk title ya hii thread.....linakereketa!
 
udini umeshindikana .... sasa imeingia vita .... baadae itakuja ushirikina.... mwisho CDM itachukua dola
 
WANAMILIKI SILAHA ZA KIVITA ZITUMIKAZO KATIKA MATUKIO MBALIMBALI YA KIHALIFU.....! S.M.G
CHADEMA mnatupeleka wapi...?

The way you write is the way you always think. Inaonyesha jinsi ulivyo na akili ya kijiwini.
 
mods, tusaidieni kubadili hilo neno la kwanza ktk title ya hii thread.....linakereketa!
Kafanya makusudi, sio tu kwenye title we ona alivoanza thread yake, Mods wasiedit title ila wai-Delete kabisa title yenyewe
 
46b1e32d61e75_large.jpg
 
.....wametumwa na serikali kupitiasm idara za usalama in favour ya CCM otherwise hii habari ni nzito ni ya kiusalama wa taifa so tunatarajia soon vyombo vya usalama kuwahoji vizuri JAMBO LEO wasaidie kupata huu ukweli hatimaye wahusika (wamiliki wa hizo silaha) wachukuliwe hatua stahiki za kisheria kama wanamiliki kinyume na sheria maana kumiliki silaha kihalali inaruhusiwa hata mimi application yangu ya kumiliki silaha kihalali ipo kwenye pipeline. Kama vyombo vya usalama na baraza la maadili ya vyombo vya habari vitanyamaza kimya, tutaamini wametumwa hao.
 
WANAMILIKI SILAHA ZA KIVITA ZITUMIKAZO KATIKA MATUKIO MBALIMBALI YA KIHALIFU.....! S.M.G
CHADEMA mnatupeleka wapi...?

habari nyingine hata hazihitaji degree ili kuzishtukia,hata waishio vijijini ambao wapo updated na media (radio) hawatashawishika na habari hiyo kwa kuwa wameshapata ufahamu kuhusiana na CDM na CCM. waswahili walisema "lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho"
 
HABARI NI YA UKWELI NA UCHUNGUZI UNAENDELEA .....KWANI MPAKA SASA UCHUNGUZI ULIPOFIKIA IMEDHIHIRISHA KUWA HUKODISHWA NA KUTUMIKA KATIKA MATUKIO KADHAA....!
HII sasa tunapata maana halisi ya vyama vingi...! wtakaoteseka ni WANAWAKE,WATOTO,WAZEE,WAGONJWA ,WAJAWAZITO,WASIOJIWEZA NA WENGGINE WENGI....CHONDE CHADEMA MNATUPELEKA WAPI?
 
poleni sana mkuu...

hoja ya udini imewashinda.

kujivua gamba hakujawapa umaarufu mliotarajia. watu wameendelea kuwadharau viongozi wenu na chama chenu

sasa mnakuja na hadithi mpya ya silaha.
 
Sintoshangaa huyo diwani kuhamia CCM na kudai kuwa alitumwa na viongozi wa CHADEMA kuwa na hiyo silaha......
 
Kafanya makusudi, sio tu kwenye title we ona alivoanza thread yake, Mods wasiedit title ila wai-Delete kabisa title yenyewe

Title iko sawa. Hayo ni mawazo yake. Wewe imakuuma nini? Gazeti lenyewe nadhani hununuliwa na UVCCM peke yake. Magazeti makini watz wanayajua. Mwahalisi, Raiamwema, Mwananchi nk. Jamba Leo ni kimeo tu
 
we mahesabu unaonekana ni mbishi wakutaka kujua vitu ndo maana unang'ang'ana kana kwamba huyo diwani ametumwa na CDM hawa jamaa ukitaka kujua ni tego kwanini hadi RC ndani kuna inshu hapa TAFAKARI kabla kupost..
 
Back
Top Bottom