Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

Kwahiyo kuna maeneo mwisho wa mwezi TRA huwa hawakusanyi kodi?na tokea mda wote huo walikuwa wapi kuja kugundua leo?je katika mazingira ya hivi si kweli kwamba kuna watu/kampuni/vyama/mashirika n.k havijawahi kulipa kodi tokea 1980's?kama ndivyo tutaaminije kama TRA sio wala rushwa?je hii TRA si imeshindwa kazi yake?je umaskini wetu si waweza kuwa unachangiwa na uzembe wa TRA,?Tanzania Rotten Agency!!
 
TRA na CCM hovyoo kabisa uwezo wao wa kufikiria ni ziro ndo maana miaka hamsini ya uhuru hakuna cha maana nchi imefanya.
 
hawajalipa kodi toka mwaka 1992?
Halafu wana jiita TRA?
all those years walikua wapi?....)

Suala muhimu hapa ni Slaa na wakwepa kodi wenzake kulipa fasta pesa yetu waliyokuwa wakiiba.

Suala la muda kupita kabla hajagundulika si hoja, hata nchi zilizoendelea wakwepa kodi hugundulika baada ya miaka kibao kupita na kulazimishwa kulipa pamoja na faini au interest.

Wahalifu wakwepa kodi wana mbinu nyingi chafu za kuficha matendo yao maovu, ninaamini hata DR Slaa alifanya hivyo hivyo.

Maadam tumembaini, tuhakikishe analipa pesa yetu yote, tena haraka sana kabla hasira hazijapanda.

Pia achukuliwe hatua kali za kisheria ili iwe fundisho kwa viongozi wanaofanana naye, wapuuzi wasiotaka kulipa kodi.

Wanaomtetea hawajui kuwa wanabariki hujuma kwa uchumi wetu, ni wasaliti na wanaorudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu.
 
Kosa ni kutolipa kodi ni wajibu wa kila anayeingiza kipato alipe KODI hiyo haina itikadi. CDM na Dr. Slaa walikaa kimya wakitilia maanani udhaifu wa TRA. Sasa wamewagundua HIVYO wana CDM msilete za kuleta kalipeni kodi kesho J3 na FAINI.

Nyie mnaifanya serikali ishindwe kutekeleza majukumu ya kuhudumia watz ipasavyo.

Vinginevyo TRA wawasiliane na hazina ili RUZUKU wanayopewa ifidie deni lao, kwanza RUZUKU yenyewe wanaitumia kwa MAANDAMANO!!! :A S 103:

Sasa kwa nini unamtaja Dr Slaa?
 
Hii plan ya kutumia TRA kutisha watu kisiasa ni ya siku nyingi mno ila sikujuwa kama kwa zama hivi bado ccm wanaweza kuitumia. Wahindi ndio wamekuwa victims wakubwa wa huu mchezo wa TRA lakini sasa naona wameingia (TRA) mkenge. Itakula kwao. Kitilya & Luoga watch out jua likitoka funza wote wataonekana. bad move!
 
Viongozi wa TRA inabidi wawajibishwe
kwa uzembe,hawafai toka 1992 waslikuwa wanauza
sura tu bila kukusanya kodi?

Kwa akili zao walidhani watapata ujiko kwa habari hii
kumbe wanajiumbua zaidi.
 
Inasikitisha kuona TRA kama taasisi huru inatumika kisiasa (kama taarifa ya magazeti ya mzalendo yatakua na ukweli) kama ni kweli TRA inabidi wawajibike, inawezekanaje CDM kwa miaka tisa wasilipe kodi i assume ni P.A.Y.E bila kujulikana?
Naamini kila mwisho wa mahesabu kila chama kinawakilisha AUDITED REPORT kupitia msajili wa vyama, kwahiyo kwa miaka yote walishindwa kugundua? ama hawa audit hizo financial reports, kama sivyo wamesha watumia CDM demand letter kuonesha mchanganuo wa wanachokidai?
Mwisho tungependa kujua CCM imechangia kiasi so far
 
Kwa hili, mwenye kesi ya kujibu ni TRA. Watueleze walikuwa wapi siku zote hizo na kukurupuka leo kwamba Dk Slaa (My President) halipi kodi?

Hata hivyo wasidhani kwamba hii hoja itatufanya sisi tumchukie Slaa. Slaa ni Rais wetu hata kama anatembea UCHI.

Swali la kujiuliza, Nape, Mukama na Msekwa wanalipa kodi?
 
Wana JF narewind hii thread:

BOT TAX FREE ALLOWANCES. Members of the BOT Board of directors have been earning millions of shillings in directors fee and allowances from the Central bank without paying relevant taxes.

The latest 2006/07 BOT audit conducted by Ernst & Young on behalf of CAG The amount paid to board members amounted to 300m/= without deduction of taxes in compliance with the income tax act of 2004.

During 2007 the BOT paid 1m/= a piece to each of the board member as directors fees alone. Apart from the directors fees the BOT also paid out-of-pocket allowances to the following board members D Balali 7.7m/= J Reli 11m/= G Mgonja 11m/= H Omar 21.5m/= Prof L Rutashobya 7.7m/= Prof J Semboja 11m/= Prof B Ndunguru 24.2m/= M Shirima 23.1m/= and Dr N Mwamba 8.8m/=

In 2006 the following members of BOT board of directors were also paid 1m/= as directors fee Balali Reli Mgonja Julian Raphael A M Rashid Prof Semboja Prof Semboja Prof Ndunguru Shirima and Dr Mwamba.

In the same year they earned out-of-pocket allowances as follows Balali 18.7m/= Reli 13.8m/= Mgonja 13.2m/= Raphael 11.6m/= Rashid 6.6m/= Prof Semboja 12.1m/= Prof Ndunguru 33m/= Shirima 26.4m/= and Dr Mwamba 13.2m/=.

The directors fees and out-of-pocket allowances are not subjected to tax although these payments are liable to tax as employment income or secondary employment for non-executive directors.

According to auditors report it was the responsibility of the BOT management to deduct income tax from the directors fees and allowances.
Any failure to comply with Income Tax Act of 2004 may result in the bank (BOT) being penalized.

Je TRA walishalifanyia kazi hili tunataka watujuze.
 
hawajalipa kodi toka mwaka 1992?
Halafu wana jiita TRA?
all those years walikua wapi?
kuna watu wangapi wasio watanzania wameingia nchini
na kufanya biashara bila kulipa kodi na wakaondoka kama TRA hawako makini kiasi hiki?
kinacho lipa kodi ni chama cha siasa kama chama au ni chama kupitia vitega uchumi
kinavyo miliki?
chadema ina vitega uchumi gani?
vyama gani vingine havijalipa kodi au ni chadema peke yake?
Miaka yote walikua wapi?

Wapuuzi hawa,....
Anyway,kama anadaiwa alipe kweli (tatizo ni siasa ndani ya utendaji katika TRA)

Sio wapuuz tu bali ni waongo. TRA ilianzishwa 1996, kabla ya hapo tulikuwa na Idara za kodi ambazo zilikuwa zinashughulikia mambo kodi ya mapato, forodha na mauzo. Taarifa za hizi idara zingalionyesha wadaiwa kama vyama vya siasa tangu enzi hizo. Lakini kwa mifumo ya kijingajinga, mapato mengi hayatozwi kodi ikiwa ni pamoja na posho zito za wanasiasa, matumizi ya kutisha ya kwenye kampeni za kisiasa nk. Kama kweli TRA inadai, kwa nini iende kusemea magazetini! Waende mahakamni. Wapuuzi na walaghai. Ila pengine sio kweli TRA wamelalamika. Gazeti Mzalendo wanaweza kuwa wamekosa cha kuandika wakabuni. Hao ndio waongo, walaghai na wapuuzi! Kama TRA hakusema hivyo, na kwa ajili hii tumekasirikia TRA na kuishushia hadhi, basi TRA ampeleke Mzalendo mahakamani kwa kumshushia hadhi!
 
Jamani mbona wanashusha mshahara wa Raisi wangu, si walisema anagonga 7.5ml sasa hii 1.7 inatoka wapi?
 
kiongozi wa chama cha kisiasa tena padri halipi kodi.

huyu ataungua kwa mungu sio kwa kuiba wake za watu tu mpaka kutokulipa kodi.

fisadi wa wake za watu sasa fisadi wa kodi.

chadema lipeni kodi bwana, muuza mitumba alipe kodi nyie mnakwepa
 
Unashangaa ya BOT?

PPF ni hayo hayo ya kutokulipa kodi kwa Board of Trustees na DG kwenye allowances na per diems.

TRA wana kipengele cha kodi kisemacho Tax on employment income including benefit in kind from employment.

Kila miaka mitatu, wakurugenzi hupewa mikataba mipya japo ni walewale. Wakipewa tu hukopeshwa mashangingi (VX) mapya. Kodi ya kila gari huwa haipungui mil. 50 ambazo PPF huwalipia. Kwa uelewa wangu, hii Mil. 50 in income from employement inatakiwa ilipiwe kodi. Toka 2003 hadi leo hazijalipwa na TRA hawajadai kwani hawajui, external Auditors TAC na Deloitte & Touche wanahongwa hawaibui hii dhambi. CAG hajui maana alitegemea auditors aliowatuma waibue.

TRA wasihangaike na visenti vya DR Slaa, washughulikie vijisenti vya wakurugenzi wa PPF pale pana tax evasion na avoidance kubwa.

Huyo MGONJA ni Fisadi mwandamizi kweli kweli maana PPF aliivuna kweli kabla ya kustaafu akishilikiana na ERIO



Wana JF narewind hii thread:BOT TAX FREE ALLOWANCES. Members of the BOT Board of directors have been earning millions of shillings in directors fee and allowances from the Central bank without paying relevant taxes.
The latest 2006/07 BOT audit conducted by Ernst & Young on behalf of CAG The amount paid to board members amounted to 300m/= without deduction of taxes in compliance with the income tax act of 2004.
During 2007 the BOT paid 1m/= a piece to each of the board member as directors fees alone. Apart from the directors fees the BOT also paid out-of-pocket allowances to the following board members D Balali 7.7m/= J Reli 11m/= G Mgonja 11m/= H Omar 21.5m/= Prof L Rutashobya 7.7m/= Prof J Semboja 11m/= Prof B Ndunguru 24.2m/= M Shirima 23.1m/= and Dr N Mwamba 8.8m/=
In 2006 the following members of BOT board of directors were also paid 1m/= as directors fee Balali Reli Mgonja Julian Raphael A M Rashid Prof Semboja Prof Semboja Prof Ndunguru Shirima and Dr Mwamba.
In the same year they earned out-of-pocket allowances as follows Balali 18.7m/= Reli 13.8m/= Mgonja 13.2m/= Raphael 11.6m/= Rashid 6.6m/= Prof Semboja 12.1m/= Prof Ndunguru 33m/= Shirima 26.4m/= and Dr Mwamba 13.2m/=.
The directors fees and out-of-pocket allowances are not subjected to tax although these payments are liable to tax as employment income or secondary employment for non-executive directors.
According to auditors report it was the responsibility of the BOT management to deduct income tax from the directors fees and allowances.
Any failure to comply with Income Tax Act of 2004 may result in the bank (BOT) being penalized. Je TRA walishalifanyia kazi hili tunataka watujuze.
 
Wakubwa,
gazeti la leo la Magamba-Mzalendo, limeandika hyo habari!

Tena mshahara wa Dr. Slaa ni sh.1,700,000 na wamesema hauna kodi.

Wamesema chadema haijalipa kodi tangu 1992. Na wamedai walipe haraka sana pamoja na adhabu.

My take: TRA WALIKUWA WAPI hadi wakurupuke leo kutoa hyo taarfa? Majungu hayaish yaan hadi TRA yaingia katka siasa!

Ni kodi ipi haijalipwa? Hebu tuwekee report kamili ili tuichambue ikibidi tuwajuze tra mengine mengi ili wakusanye kodi badala ya siasa
 
Kweli watu wanakumbukumbu fupi au nini: Hivi wiki chache zilizopitwa mshahara wa Dr. Slaa tuliambiwa ni shilingi ngapi kwa mwezi? Mara zimeshuka kiasi hiki!?


Mkuu usiumize kichwa, with time hawa mbumbumbu watameza uzushi wao!
 
Kweli watu wanakumbukumbu fupi au nini: Hivi wiki chache zilizopitwa mshahara wa Dr. Slaa tuliambiwa ni shilingi ngapi kwa mwezi? Mara zimeshuka kiasi hiki!?

Iam afraid, nafikiri wewe ndo unakumbukumbu fupi. Huo ndo mshahara tangu mwanzo aliokuwa nao lakini ukijumlisha na marupurupu yana amount kwa ile m. kadhaa.
 
Kutumia siasa katika taaluma ni khatari sana.

nafikiri ni kipindi muafaka tanzania kutenganisha mambo haya.
 
Ina maana TRA wameanza kumshitumu Dr Slaa, baada ya ile shutuma ya Billion 700 iliyolipuliwa na Dr Slaa mwezi. Uliopita ndio. Imewachoma?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom