Gazeti letu la Udaku JF..

Iwepo kona ya waliopigwa BAN na Mod na pia coner ya wageni wa wiki waliojiunga JF
 
avatar ya feisi buku yazua utata! Jf members wapigana vikumbo kwenye pm
lizzy: Hakuna mwanaume wa kunioa bongo
tafrani yazuka jukwaa la mambo ya kikubwa! Ni baada ya picha ya mod akijivinjari na member wa jf kupostiwa.
Vijana wa facebook wagombania jimama la jf.
Firstlady1 avishwa pete na mume wa mtu!
Jf yapata mushkeli, pm za members zamwagika kwenye jukwaa
faiza foxy akutwa tilalila show ya khanga moja ndembendembe!
Vidume wa jf wanaotumia id za kike wagundulika! Paw kuwapiga life ban!
Preta: Nimechoka kusubiri ndoa heri nizae sasa!
Id anayotumia jk jf yagundulika. Invisible akataa kuzungumza.
akikushika?
 
Sikonge akamatwa na Wanajeshi wa Wanyamapori:

Yule Mwanachama asiye maarufu sana wa JF, aliyekuja na msemo wa "Changia JF, Mkono mtupu haulambwi", amekamatwa na wanajeshi wa wanyamapori katika kijiji cha Kipanga, umbali kidogo kutoka Sikonge Mjini. Sikonge alikutwa akiwa amelewa chakali na chupa mbili za gongo za ukubwa wa nusu lita, huku moja ikiwa imeisha na nyingine ikiwa imebaki nusu.

Kisa cha kukamatwa na askari hao ilikuwa ni vipande vya Nyama Pori alivyokuwa akitumia kupozea hilo gongo lake huku akiimba nyimbo nyingi za kinyamwezi na zaidi kupendelea ule wenye kutoa lugha chafu kama Wamarekani weusi yaani M.F., jambo ambalo si la kawaida kwa makabila mengi ya Tanzania. Hata Tupac alivyotaka kutukana kwa Kiswahili, ilibidi aunge unge maneno maana neno MF kwa Kiswahili halipo.

Wimbo huo, gongo hilo na nyama hizo zilikuwa zimemnogea kiasi kwamba akawa kazungukwa na washabiki kadhaa wakimsaidia kuuimba wimbo huo "Nguluwe ikulyaga twingi Vayaya................. Nani wamleta, Mt**a Nina kumlye masumule........."

Alipopekuliwa zaidi, alikutwa na LAPUTOPU aliyopewa wakati wa Kampeni za Ubunge na Kandambilimbili wa JF huku ikiwa imefunikwa SIKIRINI (Screen) bila kuzimwa (Logoff) na ilipofunguliwa, walikuta kumbe alikuwa katika kuandika makala nyingine ndani ya JamiiForums ili kuwakumbusha member wengine wapya na wa zamani kwamba:

CHANGIA JF, MKONO MTUPU HAULAMBWI.

( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/22767-changia-jf-mkono-mtupu-haulambwi-16.html )
 
Kongosho amnunua mke wa TOWASHI
Feisi buku aanika mwanaume wa kumuoa...Ni JF Premium Member
Washawasha amzimia RussianRoulette, PM zao zagundulika.
Mzee Mwanakijiji abambikiziwa watoto. DNA yaonesha baba ni Malaria Sugu.
Rejao ajiunga Chadema, afichua maovu ya magamba
Faiza Foxy Anaswa akila kiti moto. Ajiumauma ashindwa kujitetetea
Figganigga:Wanawake mashangingi wananinyima usingizi
Eliza wa Tegeta adaiwa kuchukua mume wa mtu, mwenyewe adai alikuwa nae toka zamani

Hahahahahaaaa,, Mkuu umeua!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom