Gazeti letu la Udaku JF..

Salute mkuu ahahaaa
kwa kuongezea
invisible afumaniwa na mke wa paw

the finest afumwa gesti na faiza fox

nyani ngabu achezea kichapo chooni airport alikuwa anamtorosha mke wa krolokwin

yoyo amvalisha pete ya uchumba smile

ashadiii arudi jukwaani kwa mbwembe barabara zote zafungwa

asprini afumaniwa tena na baamedi walikuwa uchi kaunta mchana kweupeeeeee

rejao aula ikulu,ritz atupwa wizarani

malaria sugu kampokea yesu jangwani arudisha vibuyu vyote vya uchawi,asema alirithi kwa jirani yake

the boss aoa tena mke wa pili azua balaa harusini

lizzy aachika tena kwa the finest sasa ajichimbia kwa mr rocky mke wa mr rocky aja juu

afrodenzi alilia penzi lake na nyani ngabu asema watu wanamloga

fesi buku na cantalisia wamgombania figaniga mzee wa mia bilcanas

bishanga afumaniwa na mwanafunzi kwenye gari,ni mtoto wa baba mwenye nyumba wake

mamndenyi arudi kwa mumewe asema hawakukutana vichochoroni wapambe jinyongeni

dr riwa afumaniwa na mama mjamzito adai alikuwa anamkanda tumbo mtoto kakaa vibaya

mzizimkavu afumwa live na kizee usiku wa manane uchi adai alikuwa anamfundisha tiba asilia

invisible aachia ushuzi kwenye kikao,wadhamini wajitoa kusaidia jamii forums alimwa barua ya kuachishwa kazi

aminata amwibia mzungu hotelini,ajichimbia south kwasaint ivuga

nasjaz adai wanaume wa bongo hawajui mapenzi sasa hv kujichimbia uarabuni tu

Rejao afanyiwa plastic surgery ya masaburi madaktari wakosea wamdunga sindano ya cement

KIZAAZAA JF MOD ARRAY ACHOKA KUSOMA PM AZIACHIA KWA MEMBER WOTE PM ZAANIKWA HALI TETE JF WATU WOTE WALOG OFF WAJA NA ID MPYA


nitaendelea badae

Katika zote, ya Rejao na oparesheni ya Kichina nimeipenda, na nadhani kwa heading hiyo gazeti litaisha kabla ya 8am!
 
nashukuru ku sikia u mzima dear ..
Mi pia najiandaa na Xmass. What do you want for Xmass??

Waoh Merry X-mass n Happy New Year My GFF

1Axyc-11x-6.jpg

0116.gif
 
Kongosho amnunua mke wa TOWASHI
Feisi buku aanika mwanaume wa kumuoa...Ni JF Premium Member
Washawasha amzimia RussianRoulette, PM zao zagundulika.
Mzee Mwanakijiji abambikiziwa watoto. DNA yaonesha baba ni Malaria Sugu.
Rejao ajiunga Chadema, afichua maovu ya magamba
Faiza Foxy Anaswa akila kiti moto. Ajiumauma ashindwa kujitetetea
Figganigga:Wanawake mashangingi wananinyima usingizi
Eliza wa Tegeta adaiwa kuchukua mume wa mtu, mwenyewe adai alikuwa nae toka zamani
 
kongosho amnunua mke wa towashi
feisi buku aanika mwanaume wa kumuoa...ni jf premium member
washawasha amzimia russianroulette, pm zao zagundulika.
Mzee mwanakijiji abambikiziwa watoto. Dna yaonesha baba ni malaria sugu.
Rejao ajiunga chadema, afichua maovu ya magamba
faiza foxy anaswa akila kiti moto. Ajiumauma ashindwa kujitetetea
figganigga:wanawake mashangingi wananinyima usingizi
eliza wa tegeta adaiwa kuchukua mume wa mtu, mwenyewe adai alikuwa nae toka zamani
loh loh mi simo
 
Kongosho amnunua mke wa TOWASHI
Feisi buku aanika mwanaume wa kumuoa...Ni JF Premium Member
Washawasha amzimia RussianRoulette, PM zao zagundulika.
Mzee Mwanakijiji abambikiziwa watoto. DNA yaonesha baba ni Malaria Sugu.
Rejao ajiunga Chadema, afichua maovu ya magamba
Faiza Foxy Anaswa akila kiti moto. Ajiumauma ashindwa kujitetetea
Figganigga:Wanawake mashangingi wananinyima usingizi
Eliza wa Tegeta adaiwa kuchukua mume wa mtu, mwenyewe adai alikuwa nae toka zamani

I cant wait 4 this..frm Rejao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom