Gazeti lauliza maswali toka JF

Kitia

JF-Expert Member
Dec 2, 2006
418
74
Nimesoma magazeti ya Tanzania kupitia Kennedy nikakumbana na maswali yaliyoulizwa humu jamvini. Nenda hapa.
 
Haya maswali yote na habari zote zipo hapa JF. Jamaa kafanya Kopy and Paste.
 
Mkuu Sikonge, uliyosema ni kweli kabisa, habari zote zilishaandikwa humu JF. Kitu nilichokuwa nataka kusema ni kuwa, JF imekuwa changamoto au chimbuko la kutoa hoja ambazo baadae zinapelekwa kwa watu wengi zaidi kupitia magazeti.
 
Wa-acknowledge JF basi kama wameshindwa kufanya citation.

Vinginevyo kuna siku watakuwa sued kwa kuplagiarise, walipe mabilioni ya fedha.
 
Mimi nadhani ni vyema mijadala hii inayoendelea hapa kama itatoka nje kwa vyombo kama magazeti kuchapisha, kwani inapanua uwigo wa mjadala, na kuwafikia watanzania wengi. Mwandishi anaweza kuacknowledge tu kwa kusema huu ni mjadala kutoka JF kuliko kujimilikisha kazi ya wengine, kuweka kuwa ni mawazo yake.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom