Elections 2010 Gazeti la Uhuru: Tunahitaji Uongozi Mpya ( Kura yake ya Maoni)

2. Wawepo watu wa kumshauri kuanza kusema kuwa akishindwa yuko tayari kukubali matokeo na pia washauri wamsaidie kuandika hotuba ya kukubali kushindwa na kuwashukuru watanzania waliosimama nae.

JK tunamuhitaji atoe tamko tu la kuwa hata yeye ataheshimu matokeo huo utakuwa ndio urithi atakao tuachia watanzania. Hana la ziada hapo.
 
Hawachelewi kuya negate au kuyafuta. Inawezekana toka Makamba apige kura ya inaridhisha sana hajarudi kuangaria wanae wa ccm wanavyo msaliti.
 
I can bet my testicles that this poll will not last until 15 October 2010. Any body with a matchet pls come and slash them should this poll be avaible at the same site on close of business 15 October 2010.
 
Hiyo poll tayari ishafungwa. Hakuna poll kama hiyo tena katika website ya Uhuru. Tangu lini mbwa ambwakie mwenye nyumba wake?
 
Tujenge kwanza madaraja kuwaondolea hofu ya kutokutaka kuondoka madarakani. Hilo la makosa ya wizi linaweza kuangaliwa baadae. Kwa sasa tumsaidie jk kuondoka bila hofu. Amkumbuke kaunda alikubali.
Mbona mnataka kupinda sheria?Sheria ni msumeno, mkianza kuvuruga hizo sheria ndio mwisho wa haki.
 
I can bet my testicles that this poll will not last until 15 October 2010. Any body with a matchet pls come and slash them should this poll be avaible at the same site on close of business 15 October 2010.

Hadi mida hii tu imekwishaondolewa hakuna tena page kama hiyoooooooooo!!! Lakini unjumbe umefika
 
Hiyo poll tayari ishafungwa. Hakuna poll kama hiyo tena katika website ya Uhuru. Tangu lini mbwa ambwakie mwenye nyumba wake?

Nilisema,

Sasa nina uhakika wa kutimiza wajibu wangu kama mwanaume lijali kwani zile nanii hii zangu hazina mfyekaji.
 
Hiyo poll tayari ishafungwa. Hakuna poll kama hiyo tena katika website ya Uhuru. Tangu lini mbwa ambwakie mwenye nyumba wake?
Nimesoma kwenye gazeti lao leo kuwa kuira hiyo iliwekwa na wahuni na wamekanusha kuhusika nayo

Tovuti ya Uhuru yachakachuliwa

Tuesday, 05 October 2010 21:01 newsroom

NA MWANDISHI WETU
WAHUNI wameingilia tovuti ya magazeti ya Kampuni ya Uhuru Publications LTD (UPL) na kuendesha utoaji maoni yanayodaiwa kutoka kwa wananchi, juu ya hali ya kisiasa nchini wakilenga kuhoji utendaji wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika utoaji huo wa maoni, wahuni hao wa kisiasa wamepanga kuonyesha utendaji wa serikali si mzuri, na kwamba inahitaji yafanyike mabadiliko, wakilenga kuwalaghai wananchi washawishike kupiga kura za kuikataa serikali ya CCM katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 31, mwaka huu.

Kitendo hicho cha kuchakachua tovuti ya gazeti la Uhuru, kimefanywa kwa makusudi wakidhani wakitumia gazeti hili ambalo wanatambua uhusiano wake na Chama kilichopo madarakani na serikali zake, wataweza kuwayumbisha Watanzania wengi, kwa kuwafanya waamini ghilba hizo za kisiasa, ili wabadili msimamo na kuunga mkono upinzani, hususan chama cha CHADEMA. Wahuni hao wamefanya hivyo wakitambua Chama Cha Mapinduzi ndicho chenye nguvu kubwa nchini, kina hakika ya kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu ujao, na hakuna namna yoyote ya kukizuia kuendelea kuunda serikali, ndipo walipobuni mbinu hiyo chafu kwa kupitia tovuti ya gazeti hili ili waweze kuaminika.

Gazeti la Uhuru halijawahi kujihusisha na kura yoyote ya maoni yenye kutaka kuonyesha maoni ya watu juu ya hali ya kisiasa nchini, au kuhoji juu ya utendaji wa serikali, kama ilivyoonyeshwa na wahuni hao. Baada ya uchakachuaji wa maoni hayo na kuwekwa kwenye tovuti ya gazeti hili, na kuonyeshwa pia katika mtandao wa 'bidii forum', baadhi ya magazeti yameyachangamkia kwa nia ya kutaka kuyachapisha matokeo hayo.

Mhariri Mtendaji wa magazeti haya, Josiah Mufungo, alisema jana kuwa mchakato mzima wa maoni hayo hauhusiki na gazeti la Uhuru, kwani huo si utaratibu wake na halina utaratibu wa aina hiyo, ila huo ni usanii wa kisiasa unaopikwa kwa nia ya kuwababaisha Watanzania juu ya imani yao kwa Chama Cha Mapinduzi na serikali zake za Jamhuri ya Muungano, na ya Mapinduzi Zanzibar. Amewataka wananchi kupuuza kinachodaiwa kuwa 'matokeo' ya maoni hayo, ambayo wahuni hao wanataka kuyaonyesha kuwa yametolewa kupitia gazeti hili.
 
Wanafikiri waTZ ni wajinga. Hizo polls zinaonekana zilianza 5 Feb 2010 sasa baada ya miezi 8 leo wanasema zimechakachuliwa???? Wamegundu lini hawa??
 
wamegundua jana tuu aisee ni aibu, na maoni mwaka huu hayataonyeswa tena kwenye chombochochote au na radio free watasemaje pia!???
 
Popote duniani wakati wa mabadiliko ya uongozi kwa njia ya demokrasia utaratibu uliopo ni uongozi mpya kujifunza kutoka uongozi wa zamani. Hivyo hapa Tanzania kama upinzani ukishinda, hauna budi kujifunza baadhi ya mambo kutoka uongozi uliopita wa CCM!!
 
Tovuti ya Uhuru yachakachuliwa

Tuesday, 05 October 2010 21:01 newsroom

NA MWANDISHI WETU
WAHUNI wameingilia tovuti ya magazeti ya Kampuni ya Uhuru Publications LTD (UPL) na kuendesha utoaji maoni yanayodaiwa kutoka kwa wananchi, juu ya hali ya kisiasa nchini wakilenga kuhoji utendaji wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika utoaji huo wa maoni, wahuni hao wa kisiasa wamepanga kuonyesha utendaji wa serikali si mzuri, na kwamba inahitaji yafanyike mabadiliko, wakilenga kuwalaghai wananchi washawishike kupiga kura za kuikataa serikali ya CCM katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 31, mwaka huu.
Kitendo hicho cha kuchakachua tovuti ya gazeti la Uhuru, kimefanywa kwa makusudi wakidhani wakitumia gazeti hili ambalo wanatambua uhusiano wake na Chama kilichopo madarakani na serikali zake, wataweza kuwayumbisha Watanzania wengi, kwa kuwafanya waamini ghilba hizo za kisiasa, ili wabadili msimamo na kuunga mkono upinzani, hususan chama cha CHADEMA. Wahuni hao wamefanya hivyo wakitambua Chama Cha Mapinduzi ndicho chenye nguvu kubwa nchini, kina hakika ya kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu ujao, na hakuna namna yoyote ya kukizuia kuendelea kuunda serikali, ndipo walipobuni mbinu hiyo chafu kwa kupitia tovuti ya gazeti hili ili waweze kuaminika.
Gazeti la Uhuru halijawahi kujihusisha na kura yoyote ya maoni yenye kutaka kuonyesha maoni ya watu juu ya hali ya kisiasa nchini, au kuhoji juu ya utendaji wa serikali, kama ilivyoonyeshwa na wahuni hao. Baada ya uchakachuaji wa maoni hayo na kuwekwa kwenye tovuti ya gazeti hili, na kuonyeshwa pia katika mtandao wa 'bidii forum', baadhi ya magazeti yameyachangamkia kwa nia ya kutaka kuyachapisha matokeo hayo.
Mhariri Mtendaji wa magazeti haya, Josiah Mufungo, alisema jana kuwa mchakato mzima wa maoni hayo hauhusiki na gazeti la Uhuru, kwani huo si utaratibu wake na halina utaratibu wa aina hiyo, ila huo ni usanii wa kisiasa unaopikwa kwa nia ya kuwababaisha Watanzania juu ya imani yao kwa Chama Cha Mapinduzi na serikali zake za Jamhuri ya Muungano, na ya Mapinduzi Zanzibar. Amewataka wananchi kupuuza kinachodaiwa kuwa 'matokeo' ya maoni hayo, ambayo wahuni hao wanataka kuyaonyesha kuwa yametolewa kupitia gazeti hili.

Source: Tovuti ya Uhuru yachakachuliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom