Gazeti la Uhuru linafanya upendeleo katika mchezo wa soka

kazikubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
597
143
Leo katika uchambuzi wa Magazeti asubuhi katika Clouds FM Bw. Gerald Hando amesema gazeti la Uhuru la jana Alhamisi halijaripoti kabisa habari ya Yanga kuchezea kipigo cha 3-0. Cha ajabu leo limezuka na habari ya kuisifu Yanga. Je tunapata ujumbe gani kutokana na mtazamo wa gazeti hili?
 
Leo katika uchambuzi wa Magazeti asubuhi katika Clouds FM Bw. Gerald Hando amesema gazeti la Uhuru la jana Alhamisi halijaripoti kabisa habari ya Yanga kuchezea kipigo cha 3-0. Cha ajabu leo limezuka na habari ya kuisifu Yanga. Je tunapata ujumbe gani kutokana na mtazamo wa gazeti hili?[/QUOTE]

Na sisi tunapata ujumbe gani kutoka kwenye mtazamo wa huu uzi wako?
 
Yanga siwale wale ukuona yaliyotoke kwa mbuyu TWITE ACHANA NAO HAO WALEWALE M A G A M B AAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Kwani unasoma hilo gazeti? Si bora hiyo hela uwape omba omba
 
NAIPENDA YANGA lakini siipendi CCM ondoa shaka watu hawajalinunua hili gazeti wanatoaga nakala 1000 jioni zinarudi nakala 1000.
 
waandishi waowazee hawapo creative,mradi mwisho wa mwezi ufike wapokee chao
 
Back
Top Bottom