Hivi Liwassa ni mtuhumiwa wa mkataba wa Richmond au ufisadi? Ufisadi ni tuhuma nzito
Ama kweli tenda wema.... na ubaya utalipwa hapahapa ulimwenguni alijiimbia marehemu Dr RemmyLeo hii wamesahau mema yote aliyowatendea?
lowassa amekwenda nigeria kusimikwa rasmi kuwa igwe
mimi na tanzania, wakati mwingine wanasiasa wanatupotezea muda..
lowassa hawezi kumalizwa na gazeti linalosomwa na watu alfu moja kwa siku... kashindwa kikwete na wanamagamba wengine kitaweza kijarida kama uhuru??Gazeti la CCM, Uhuru leo limechapisha habari hii, kuwa mtuhumiwa wa ufisadi alikwenda Nigeria kuombewa. naona limeanza kuwaandaman mapacha watatu, na hii ni ishara kuwa mkakati wa kuwatema uko jikoni.
Hata kama hakutajwa lakini inajulikana yeye ndiye alikuwa Nigeria!!umejuaje kuwa ni lowassa wakati gazeti halijataja jina lake?
heeee......heeeeeeeee..............heeeeee!!!!!!!!!!!!!!.....igwe......... Even our ancesto will noto agreelowassa amekwenda nigeria kusimikwa rasmi kuwa igwe