Gazeti la Uhuru laandika; Wazee wa kimilia Arumeru Hawataki Kumuona Lema!

Gazeti la udaku la Uhuru lanalotumiwa na magamba limeripoti kuwa, wazee wa kimila wilayani Arumeru hawako tayari kuonana na Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kwa ajili ya kuombwa msamaha kwa dharau alizowaonyesha wakati wa mazishi ya J. Sumari kama ilivodaiwa na J. Tendwa.

My take:
Huu ni mwendelezo wa propaganda za kitoto, uongo na uzushi wa CCM kupitia gazeti hili.

:smash:
 
...kama hataki kumwona Lema mbona hiyo ni kitu raisi,ninamaana kwamba "nyinyi wazee wakimila" mkisikia Lema anakuja huko Arumeru fumbeni macho,akishapita eneo mtakalokuwa mafumbueni macho maisha yaendelee!...Leo mnasema hamtaki kumwona Lema,kesho hatujui mtasema amtaki kumwona nani,si hajabu keshokutwa mkasema hamtaki kuwaona mtu yeyote ambaye si mshili Arumeri!...
 
Back
Top Bottom