Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la Uhuru kesho litatoka na Kichwa Cha Habari gani, ukurasa wa Mbele ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ishina, May 26, 2012.

 1. Ishina

  Ishina Senior Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Baada ya Makamanda wa wa ukweli wa CDM kufanikisha uzinduzi wa Movement for Change (M4C) kitaifa, na kuvua Magamba mengi ya kutosha (zaidi ya 3,000) leo katika Viwanja vya Jangwani Viwanja vya Chadema Square: Je kesho Gazeti La Uhuru litatoka na kichwa cha habari gani ukurasa wake wa Mbele?
  Any idea?!
   
 2. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,105
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 180
  Chadema wapata maudhurio ya watu wachache kwenye mkutano wao
   
 3. Ishina

  Ishina Senior Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  'Chadema yapoteza Mvuto wa wananchi'
   
 4. Fofader

  Fofader JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 791
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Mamia ya watu wahudhuria mkutano wa CHADEMA
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,320
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Chadema yamkosea adabu Rais
   
 6. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 17,498
  Likes Received: 4,695
  Trophy Points: 280
  mara ghafla...''CDM yafunika Jangwani ''Chadema Square''.........kesho yake Nape Kubwa Jinga lazima aitishe Press Conference ya kumtimua mhariri
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 38,938
  Likes Received: 5,373
  Trophy Points: 280
  watasema CHADEMA YAVUNA WANACHAMA BANDIA
   
 8. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,532
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  CHADEMA YALETA FUJO JANGWANI
  *Mamia wajeruhiwa
  *mwenyekiti wao amtukana Rais
  *tundu Lissu azomewa
  *Shibuda ashangiliwa.
   
 9. Ishina

  Ishina Senior Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii habari ya kesho nadhani Nape mwenyewe atakuwa ataiandika na kusimamia zoezi hilo yeye! Hataki makosa ya kipindi kile cha uchaguzi Arumeru yajirudie.Wakati fundi mitambo wa TBC alipochemka, ilikuwa habari ya Magamba, lakini zikatoka picha za CDM
   
 10. U

  Uswe JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  CHADEMA TISHIO LA AMANI
  • yataka viwanja vya jangwani viitwe chadema square,
  • Mbowe kufundisha vijana wake kumwaga damu
   
 11. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,899
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  chadema yakosa watu jangwani.
  mwandishi wetu aliyekuwa akufuatilia mkutano wa chadema uliotangazwa kwa karibu wiki nzima alifuatilia mkutano huo majira ya saa kumi kamili jioni ya leo lakini cha kustaajabisha alikuta jangwani hakuna hata ndege aliyekuwa amefika katika uwanja huo.

  lakini katika hali ya kustaajabisha itv katika taarifa yao ya habari ya saa 2 usiku jana walionyesha picha za uchaguzi wa 2010 wakielezea kuwa ndio mkutano wa jana.

  tunamwomba mwenyekiti wa chama chetu ambaye ana mamlaka ya kikatiba ya kukifungia kituo cha itv kwa kupotosha habari.
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 27,197
  Likes Received: 5,470
  Trophy Points: 280
  Msishangae wakisema 'Bujibuji arudisha kadi yake CDM, apewa mke na Baba Mwanaasha, Mkewe ni Mwanaasha na harusi kufanyika Ikulu'
   
 13. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,231
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  CDM yatapeli pesa za watu masikini;

  Magamba-CCM yatimkia Chadema.

  Slaa na Mbowe wazomewa, washindwa kuhutubia.
   
 14. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,690
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  unapima upepo?
  sendoff ya Dr.Slaa na Mchumba wake lini?
   
 15. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,805
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  WANANCHI WASUSIA MKUTANO WA CHADEMA -wachache walioudhuria wakerwa na sera za uchochezi wa Chadema -Viongozi wa kitaifa wa Chadema wazomewa -Waapa kuigawa nchi wakifanikiwa kuingia Ikulu
   
 16. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  chadema waendela kuteswa na mzimu wa shibuda
  mbowe amkandia shibuda kiaina
   
 17. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,200
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 280
  CHADEMA CHASHINDWA KUWIKA.

  *Zito, Shibuda waingia mitni.
  *Wanafunzi wajazana
  *Wampongeza rais, wasema hakuna kama yeye.
  *
   
 18. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 7,739
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Ha ha haaaaa, kesho hakuna gazeti la uhuru wandugu, liko gazeti la MZALENDO...
  Ni substitute ya gamba la uhuru
   
 19. Dennis_elisha

  Dennis_elisha Member

  #19
  May 26, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHADEMA WAGEUKA OMBAOMBA
  *wamewakamua wanachama wake kiasi cha kukosa nauli
  *
   
 20. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #20
  May 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,711
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wataandika "Kikwete atukanwa"
   
Loading...