Magembe R. Malima
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 233
- 214
Kiranga sina ubishi juu ya wewe kusema ama kutosema juu ya "Uzembe wa Tanzania" kwa sababu uzembe huu hata mtoto mdogo anauona. Tatizo langu ni "nguvu" kubwa unayotumia kuonesha kuwa "Sasa mantiki ya katuni yote inapotea kutokana na 'kuwaonea' Waganda." Hilo ndilo tatizo langu.Obviously hunifuatilii ninavyoandika na unataka kusoma unachotaka wewe.
Nimeshaongea kuhusu uzembe wa Tanzania.
Lakini pia hilo halinizuii kuongelea presumptive nature ya cartoonist.
Last edited by a moderator: