Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la Tanzania Daima: What's up?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Mugongo Mugongo, Jul 2, 2007.

 1. M

  Mugongo Mugongo JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2007
  Joined: Nov 8, 2006
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  A week or so ago, Tanzania Daima, a daily tabloid owned by the wife and child of Mr. Freeman Mbowe, CHADEMA National Chairman, reduced its print order from 20,000 copies per day to 10,000. The big question: what happened?

  Bad business? Bad editorial policy?

  My take:

  1. Tanzania Daima Mbowe alilianzisha vizuri likawa na credibility na a healthy circulation. Alipoanza kuligeuza kuwa kama "Uhuru" la CHADEMA, akawa amefanya kosa kubwa. Lilipoanza kujaza makala za chuki za kina Ngurumo na Kibanda na Mbowe mwenyewe, it started going downhill. My argument has always been that Watanzania don't like "hate rhetoric" specialised by Mbowe, Ngurumo and Kibanda.

  2. Accuracy kwenye coverage ni kitu muhimu sana (hili ndio jambo tunamkazania ndugu yetu Mwanakijiji). Coverage ikiwa ideologically driven, facts are ignored, objectivity thrown out of the window, na headings za makala zinakuwa headlines. That is what has been happening at Tanzania Daima. Gazeti hilo linaongoza kwa retraction rate na kuomba watu misamaha. Kibanda juzi tu kaomba audience na PM kumuomba radhi.

  3. Bickering and backstabbing among the staff at the paper. Watu wanafanya gazeti moja lakini wanatukanana kwa makala kwa pen names. Yote hii ni fault ya Mbowe kwa ku-pick favourites and failure to properly lead his pack of "attack dogs" (this is a metaphor, don't kill me).

  So, what is going to happen? Tanzania Daima will probably wind-up as a business in the next year - or will go down to 2,000 copies and become a fringe paper like Hoja or something like that. Yet another business failure by Mbowe but a greater diservice to the Dar readership as we were getting used to the slant and enjoying the venom.
   
 2. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2007
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,533
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kaka kweli kazi unaiweza lakini nakuonea huruma....soma nyakati ndugu miti yote inateleza....

  1. Tanzania Daima Mbowe alilianzisha vizuri likawa na credibility na a healthy circulation.

  Ina maana lilipokuwa chini ya Mwanamtandao Jacton Manyerere?

  2. Accuracy kwenye coverage ni kitu muhimu sana (hili ndio jambo tunamkazania ndugu yetu Mwanakijiji).

  Nani kakwambia accuracy ni part ya UHANDISI WA HABARI unaondelea hapa nyumbani? Wakati walipokuwa wakipromote sensional journalism ulidhani yangeishia chimwaga? Anyway wakati huo haukuwa mwanakundi mwaminifu

  3. Coverage ikiwa ideologically driven

  Una maana interest driven? kama ile ya AMINA OVER MY DEAD BODY?

  4. Kibanda juzi tu kaomba audience na PM kumuomba radhi.

  Una uhakika ni kibanda aliyeomba hiyo so called audience ama ndiyo mambo ya Preemptive strike?

  5. Bickering and backstabbing among the staff at the paper. Watu wanafanya gazeti moja lakini wanatukanana kwa makala kwa pen names.

  Well atleast kuna some sense ya domokasi huko na sisi kina nyasi tunapata neema ya kutoumizwa zaidi...

  6. greater diservice to the Dar readership as we were getting used to the slant and enjoying the venom

  Which dar readership? That one hooked up with ur venomous udaku tabloids?  anyway kaka, good work

  Tanzanianjema
   
 3. M

  Mugongo Mugongo JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2007
  Joined: Nov 8, 2006
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  TanzaniaNjema,

  The bitter fact remains kwamba your paper (Tanzania Daima) has dropped circulation from 20,000 to 10,000 copies per day. That is a very significant drop...I say 100% drop, George Bush will probably say 50%. And this drop is significant in its timing - kwa maana ya kwamba imetokea since mmeanza kulifanya Tanzania Daima kama Uhuru la CHADEMA, kwa maana ya kwamba imetokea tangu Mbowe aanze kuwa mwandishi wa habari na kuwa-quote Thomas Hobbes na Max Weber kwenye Waraka kwa Watanzania...oops kwa JK...oops kwa Watanzania...no, kwake mwenyewe! (because nobody I know these days actually read the rants).

  You dispute my take on sababu za circulation drop. Fine. I await yours. Au kupungua kwa wasomaji wa Tanzania Daima nako ni njama na machinations za "wanamtandao"? Ha ha ha!
   
 4. M

  Mugongo Mugongo JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2007
  Joined: Nov 8, 2006
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ...and what brought you guys down is big egos. Kibanda has a big one, Ngurumo's is about to bust, and Mbowe has a mother of all egos.

  Gentlemen, running a newspaper is not about you and the [supposed] preeminence of your opinions. It is not about making your views celebrated. If you make the paper as a conduit of your beliefs, and if those beliefs are based on delusions and rooted in hatred, the paper will not survive. Remember: it is not about you, it is about the readers and what they want. And all they want is facts. Facts and objectivity. Since these were alien spieces in Tanzania Daima, we are where we are now: 10,000 copies down, and counting down.
   
 5. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 10,021
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0

  I'm sure we had a thread on this ages ago, and I'm afraid my answer is just as snobbish and sadly accurate as it was then. It's the same reason people read udaku (et al) magazines, believe horoscopes, watch films like Titanic or believe in god. Because - despite the millions of years of evolution and the development of rational thought - we haven't really come very far, and most of us are as thick as pigshit.


  not palatable or politically correct, but a fact nonetheless.


  Also have you seen the way the TANZANIA DAIMA front page is written? it's rubbish.


  Its news writing is crap, long winded and boring, totally not readable by anyone unless you persevere with it.


  A simple way to sum it up is:

  TANZANIA DAIMA READER = someone who falls for cheap demagoguery AND espouses particular type of rather reactionary, faux-nostalgic, cheap politics.
   
 6. B

  BigMan JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2007
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,137
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
 7. M

  Mugongo Mugongo JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2007
  Joined: Nov 8, 2006
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mkubwa wangu Big Man,

  Sio tu Shekifu waliyemkosea. Hata huyo Halima "Msungu", sio tena RC wa Kigoma. Alihamishiwa Iringa akitokea Kigoma karibu a year sasa. Na a few months ago kaondolewa u-RC. Na jina vilevile wamekosea...sio Halima Msungu...ni Halima Kasungu.

  Sasa editor mwenyewe anafanya siasa tu kila siku, na waandishi wenyewe wanaoajiri ni makanjanja, unategemea nini? Ndio maana nasema katika magazeti yanayoongoza Tanzania kwa retraction na apology rate ni Tanzania Daima. No wonder they are going down.
   
 8. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #8
  Jul 2, 2007
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 4,055
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  OK, Mugongomugongo na DRWHO:

  Vipi magazeti mengine, circulation yao inaongezeka au inashuka?

  Nilikuwa nasoma sasa hivi hapa jinsi ambavyo mauzo ya magazeti makubwa hapa uk imeshuka-wakiwemo hawa akina The Independent, Gurdian and Times. Sun ndio naona bado wapo juu. Sina uhakika kama kuna strong positive correlation kati ya mauzo na ubora wa magazeti.

  Ok, twende pia kwenye hoja kwamba Tanzania Daima linatumiwa kama mbiu ya Mbowe au CHADEMA, ushahidi wa hili nalo ni shaka-kwa sababu ni gazeti hili pekee ambapo tunashuhudia watu wa itikadi mbalimbali wakiandika makala-akina Tambwe Hiza, Abbas Mtemvu, n.k. Sidhani kama Uhuru au Majira wanaweza kuchapisha makala ya Mbowe.

  DRWHO: Hayo mawe yako yamekuwa mazito sana kwa Tanzania Daima, na nafikiri sio haki. Haya tuambie basi gazeti TZ ambalo unafikiri sio crap. Yaani sisi tunaosoma Tanzania Daima ndio umeamua kuturushia mawe namna kwamba tupo cheap, reactionary, nostalgic (though I like this one), eeh bwana mzee taratibu bwana. Sisi ndio wananchi wenyewe, sasa kama tupo cheap ndio hivyo tena, ndio nchi ile tulivyo. Tuoneshe basi gazeti gani tusome ili nasi tuwe "expensive politically"!?
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Jul 2, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 32,878
  Likes Received: 1,650
  Trophy Points: 280
  Kitila.. hata mimi nilikuwa najaribu kuuliza.. tunaposema kuwa circulation ya TD imeshuka kwa sababu mbalimbali tunalinganisha na ipi? Je, Majira, Nipashe, Dar Leo, Uhuru, Habari Leo n.k circulation yao imeongezeka kwa kiasi gani? Je kushuka kwa circulation ni lazima iwe sababu ya content na siyo factors nyingine kama usomaji, competition, cost n.k?

  Inakuwaje kama unachapisha magazeti 20,000 halafu 10,000 hayafiki kunakotakiwa au hayasomwi na badala yake yanarudishwa? Itakuwa ni ukichaa wa biashara kufanya biashara kwa hasara. Kama elfu kumi yanaleta faida na elfu 20 yanaleta hasara so why stick with elfu ishirini?

  Nafikiri nguvu za soko zina apply hata kwenye biashara ya magazeti? na hilo halijali ni magazeti ya wapinzani au watawala wetu!
   
 10. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 10,021
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0

  Nonsense!just because TANZANIA DAIMA newspaper had one of the biggest readership throughout TZ doesn't necessarily mean that their standard of journalism is as great as its journalists think it is.After all TD's journalism is probably the most henious,obnoxious and unintelligent.It is just foul and mostly a pile of nonsensical, mindless, childish drivel.

  Thank goodness for RAI: a newspaper that looks at the world's events from both sides and yet offers an intelligent, accurate, thought-provoking and articulate stance on those issues. for me, it is my favorite newspaper of the lot.
   
 11. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #11
  Jul 2, 2007
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 4,055
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  I always refrain from responding to criticisms comprising phrases like "probably" simply because such phrases demonstrate that the criticism is unfounded at best and malicious at worst. Maybe someone somewhere will be clever enough to tell us the benchmarks of judging the quality of newspapers and their readership in Tanzania before we can seriously respond to criticisms directed at TD.

  In any case, I thought if you dont like a newspaper, you dont need to go out lamenting about its poor quality and the likes, you simply ignore and stop reading it. So, what is the fuss here really concerning TD? Is there something bigger that we are yet to be told?
   
 12. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2007
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 12,127
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  drWho,
  Hata usomaji wa RAI umeshuka. Speshali tangu lichukuliwe na RA.
   
 13. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2007
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 5,469
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mugongo Mugongo,

  Mimi sikukimbia hesabu, je circulation ikishuka toka 20,000 na kuja 10,000, hiyo ni 100 % drop?

  Hapo naona Bush amekuzidi hesabu.

  Kitu kinapo drop asilimia yake hata siku haiwezi kuzidi 100.

  Circulation ingelikuwa inapanda ndio kupanda huko kunaweza kuzidi asilimia 100. Kitu kinaposhuka unatumia denominator ambayo ni kubwa kwa case yetu ni 20,000 kwahiyo hata i drop vipi sana sana itaishia kuwa 100 % drop, yaani hapo uzalishaji umekuwa 0.

  Naomba kuelemishwa, je mahesabu yako ni sahihi?
   
 14. K

  Kalamu JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2007
  Joined: Nov 26, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bush won hands down!
   
 15. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2007
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,746
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  huenda wale wanachama waliorejesha kadi, walikuwa wasomaji na baada ya kutoka wameacha.
   
 16. C

  Chuma JF-Expert Member

  #16
  Jul 2, 2007
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mugongo, DrWHo, na wengine mnaolaumu TD hoja zenu ni mfu. Magazeti Mengi TZ yameshuka circlation. Najua wengi wa TZ si wasomi wa Magazeti ya maana labda ya shigongo..Mie namuogopa Shigongo kwani ANAHARIBU JAMII. huwezi amin unakutana na kijana wa kike darasa la 7 anasoma shigongo..unategemea nini? Wanafunzi wa VYuo ambao ndio wasomi hawanunui magazeti akinunua ujue either kuna nafasi za kazi au Matokeo ya wanafunzi either wa CHUO,Sekondari. Watu wa mtaani Circulation hutegemea Matukioa ya Siasa yamekwendaje...
   
 17. C

  Chuma JF-Expert Member

  #17
  Jul 2, 2007
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wengi wa waandishi wetu wanatafuta pesa,na pesa hupatikana kwa Wanasiasa, wakipata pesa na wao wakawa na magari yao na Viwanja vyao hapo basi...na hapo ndipo magazeti mengi hufa...I know wanasiasa wanayanunua magazeti ili walindwe..Kama mtakumbuka Majira ilivyonunuliwa na Mrema 2005 circulation ilifikia 100,000 na zaidi....
   
 18. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #18
  Jul 2, 2007
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 3,520
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Kulinganisha Tanzania Daima na Rai ni utapiamlo wa akili.

  Rai imebaki uharo mtupu....but CCM mafia are financing it.
   
 19. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #19
  Jul 2, 2007
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 4,055
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145

  Hiyo ni kali ya mwaka! Nami nilikuwa nashangaa mtu kabisa anaifaigilia Rai ya leo, kweli tunatofautiana na ndio raha ya kuwa binadamu! But thinking of t again, nafikiri jamaa bado anaongelea Rai ile!
   
 20. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #20
  Jul 2, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 4,981
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hivi tanzania daima ( freemedia ) ilitangaza kweli kifo cha amina ? achilia mbali makala wanazoandika ! just curious.