Gazeti la Tanzania Daima linamilikiwa na Mhe. Mbowe?

Huo ndio uongozi tunaoutaka hata kama kampuni ni yako hakuna kuingilia uendeshaji na maadili ya waandishi, gazeti liko neutral hadi watu wanashindwa kuelewa hiyo ni dalili nzuri kwa gazeti siyo kama Mtanzania au RAI au hata HabariLeo la umma magazeti ambayo unaweza ku-predict kesho yataandika nini.

I totally agree with, gazeti likiwa biased saana litashindwa kujiendesha kibiashara. kama ni issue ya itikadi, then CDM ianzishe gazeti au magazeti yake yafanye shughuli hiyo n hata TV why not? this is TZ bwana!!!
 
Back
Top Bottom