Gazeti la TANZANIA DAIMA halina tofauti na gazeti la KIU

Status
Not open for further replies.
Mimi ni mkazi wa kudumu wa KILOSA sasa leo nimeona kichwa cha habari cha gazeti hili kuwa KINANA na NAPE wamezomewa RUAHA huu UZUSHI na UONGO USIO NA TIJA KWA TAIFA

.Watu waliouzulia kwenye mkutano wa hadhara walikuwa wengi kupita kiasi cha kwamba haijawahi kutokea na watu waliuliza maswali wakapata majibu yaliyowalidhisha wakashangilia vya kutosha mpaka sasa ni gumzo hapa ruaha ujio wa katibu mkuu

.mkutano ulivyomalizika tulimsindikiza katibu mkuu kwa shangwe la kutosha. vijana wa CCM waliondoa jukwaa mpaka saa moja na nusu jioni; labda kama wao wafuasi wa CDM walimsubiri kiongozi wao wa chadema saa nae usiku akawahutubia sawa

.Hakuna kama CCM hapa ruaha hawa wapinzani wanahaha na maneno ya udaku kama lilivyoandika gazeti la TANZANIA DAIMA
TUKUBALI SASA WATU WAMEANZA KUPOTEZA IMANI NA CDM ILA INAJITAIDI KUJISAFISHA KWA KILA HALI ILA MFA MAJI AACHI KUTAPATAPA.

ANGALIA HOTUBA YA MBOWE YANI NI ZAIDI KINYAA KWA WATANZANIA KAMA TUNGEMPA NCHI ANGETUPELEKA WAPI?
watumishi wagazeti la TANZANIA DAIMA kwa kuwa mmiliki wenu ni ZERO nanyi hamtakiwi kuwa ZERO kama mmiliki wenu wa gazeti, WATANZANIA WA SASA HAWAHITAJI UZUSHI NA UONGO USIO NA MAANA
Mkuu next time ukija na uongo humu ndani ujipange sana. Kuna wakuda balaa halafu wapo fiti usipime, si unaona jinsi walivyokuumbua?
 
Kichwa cha habari kinahusu yaliyoandikwa kwenye gazeti la Tanzania Daima, ndani unadiscuss ukiunganisha na hotuba ya mbowe. Mbona ni mambo mawili tofauti. Hivi wamewachukua watu msiokuwa na akili kufanya hii kazi ya kuponda upinzani huku jf? Mjinga kweli wewe.
 
Mimi ni mkazi wa kudumu wa KILOSA sasa leo nimeona kichwa cha habari cha gazeti hili kuwa KINANA na NAPE wamezomewa RUAHA huu UZUSHI na UONGO USIO NA TIJA KWA TAIFA

.Watu waliouzulia kwenye mkutano wa hadhara walikuwa wengi kupita kiasi cha kwamba haijawahi kutokea na watu waliuliza maswali wakapata majibu yaliyowalidhisha wakashangilia vya kutosha mpaka sasa ni gumzo hapa ruaha ujio wa katibu mkuu

.mkutano ulivyomalizika tulimsindikiza katibu mkuu kwa shangwe la kutosha. vijana wa CCM waliondoa jukwaa mpaka saa moja na nusu jioni; labda kama wao wafuasi wa CDM walimsubiri kiongozi wao wa chadema saa nae usiku akawahutubia sawa

.Hakuna kama CCM hapa ruaha hawa wapinzani wanahaha na maneno ya udaku kama lilivyoandika gazeti la TANZANIA DAIMA
TUKUBALI SASA WATU WAMEANZA KUPOTEZA IMANI NA CDM ILA INAJITAIDI KUJISAFISHA KWA KILA HALI ILA MFA MAJI AACHI KUTAPATAPA.

ANGALIA HOTUBA YA MBOWE YANI NI ZAIDI KINYAA KWA WATANZANIA KAMA TUNGEMPA NCHI ANGETUPELEKA WAPI?
watumishi wagazeti la TANZANIA DAIMA kwa kuwa mmiliki wenu ni ZERO nanyi hamtakiwi kuwa ZERO kama mmiliki wenu wa gazeti, WATANZANIA WA SASA HAWAHITAJI UZUSHI NA UONGO USIO NA MAANA

Unajitahidi kuja na id tofauti lakini unashindwa kubadilika kiuandishi. Umeamishia makazi yako kilosa kwa sasa?? Vipi mbozi, hurudi tena??

Umetumwa kubadili kile kilichoandikwa na tz daima?? Pole sana rafiki.

viva cdm
 
Kichwa cha habari kinahusu yaliyoandikwa kwenye gazeti la Tanzania Daima, ndani unadiscuss ukiunganisha na hotuba ya mbowe. Mbona ni mambo mawili tofauti. Hivi wamewachukua watu msiokuwa na akili kufanya hii kazi ya kuponda upinzani huku jf? Mjinga kweli wewe.

halaf anajiita mkazi wa kudumu wa kilosa. Anadanganya umma huyo. Mkazi wa mbozi.
 
linamilikiwa na mmiliki wa night club asiye na tabia ya kuwalipa waandishi wake sasa unatarajia nini?
 
Nilijua lazima wale jamaaa lazima waje humu, haiwezekani mtu ulipwe ujira halafu usiifanye kazi uliyotumwa.
526602_489746167741558_1121145495_n.jpg

Pinda kasema kuna darasa maalum hapo Makao Makuu kwa hiyo kila thread wapo
 
mbona wengi tulishuhudia hili varangati la aibu kwa hawa waandamizi wa chama tawala.!!!!!!!!!!!!!!! kwani wewe ulikuwa wapi usione yaliotokea??? hata ITV haikukuonyesha.tanzania daima ni mbadala wa MWANAHALISI HALIACHI KITU liveeeeeeeeeeeeeeee.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom