Gazeti la Serikali

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,713
12,063
Gazeti la Uhuru la leo ambalo ni gazeti la serikali limeandika,,"Mtuhumiwa wa ufisadi aenda Nigeria kujisafisha".

Hapa ni patamu,,kama hata chombo cha serikali ya ccm kinatamka waziwazi kwa mtindo huo.

TBC wao bado humpamba kwa jina la "Waziri Mkuu Mstaafu".
 
Asante kwa taarifa.. Ila UHURU sio Gazeti la Serikali ni gazeti la CCM.
 
Kwa mara ya kwanza leo nimestaajabu gazeti la CCM linamuandika vibaya kada wake. kweli mageuzi naona yanachukua kasi yake.
 
Wakuu hata mimi nimeisoma hiyo stori leo!!! Eti kada wa CCM anayetuhumiwa kwa ufisadi ameonekana katika sinagogi la Mchungaji T.B. Joshua huko Nigeria akiombewa juzi jumapili!!!

Wakuu huyo mtuhumiwa atakuwa nani? ... coz atakuwa mmojawapo wa wale mapacha watatu!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom