Gazeti la Sauti Huru na Chadema Tena

wikolo

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
800
270
Angalia vizuri na hako kapicha kadogo juu ya picha kulia kuhusu Bi. Nkya. Sasa sijui hili gazeti lenyewe lina maadili kuliko ya Mwanahalisi? Kazi ipo.

SAM_4845.JPG
 
Haya Magazeti yanshambulia watu Binafsi yana Malengo Gani kwenye Usajili wake? Si Bora wangeungana na Shigongo kwenye Udaku!! Who is behind this Tabloid?
 
Kwani linaisema serikali na CCM? Haya adhabu yake ni kuyaacha tu ili return rate yake iwe kubwa wafunge wenyewe.
 
Haya ndo mfano wa magazeti ambayo akina lowasa na kikwete waliyaanzisha wkt wa kuelekea uchaguzi mkuu. Kwa sasa humo kuna akina nape na vikaragosi vingine vya ccm.
Sisi watz hatudanganyiki tena
 
Angalia vizuri na hako kapicha kadogo juu ya picha kulia kuhusu Bi. Nkya. Sasa sijui hili gazeti lenyewe lina maadili kuliko ya Mwanahalisi? Kazi ipo.

SAM_4845.JPG
Mimi naamini kwa sababu ukiangalia Askofu Makiadi Mapengo Francoo, yaani sera zake na za chadema zinafanana sana, maana yeye kila siku kwenye ibada badala ya kuwajenga wananchi wake kiroho, anajikita sana kuongelea mambo ya kisiasa. huku ni kushindwa na kazi yake. naye inabidi aanzishe chama ili awe mwanasiasa kama slaa, maana mwenzake slaa ya kanisa yamemshinda pamoja na kanisa kumsomesha biblia hadi ngazi ya udoktari, lkn ameamua kuingia kwenye siasa ili aigeuze nchi iwe parokia ya katoliki kabisaa, kwa hiyo sauti wako sawa kabisaaa, mimi mwenyewe nikienda kanisani mzee mapengo huwa ananiboa, naona bora niende hata kwa mwigira tu au mzee wa upako lusekelo pale ubungo.
 
Linamilikiwa na nani hili?

Hata mimi najiuliza hilohilo. Maana naona lengo la hilo gazeti ni lilelile tunaloona wanalofanya baadhi ya wana JF, kulihusisha Kanisa na Chadema ili Chadema ikimbiwe na watu wa itikadi fulani ya kidini.
Nani mmiliki wa hili gazeti??
 
Mimi naamini kwa sababu ukiangalia Askofu Makiadi Mapengo Francoo, yaani sera zake na za chadema zinafanana sana, maana yeye kila siku kwenye ibada badala ya kuwajenga wananchi wake kiroho, anajikita sana kuongelea mambo ya kisiasa. huku ni kushindwa na kazi yake. naye inabidi aanzishe chama ili awe mwanasiasa kama slaa, maana mwenzake slaa ya kanisa yamemshinda pamoja na kanisa kumsomesha biblia hadi ngazi ya udoktari, lkn ameamua kuingia kwenye siasa ili aigeuze nchi iwe parokia ya katoliki kabisaa, kwa hiyo sauti wako sawa kabisaaa, mimi mwenyewe nikienda kanisani mzee mapengo huwa ananiboa, naona bora niende hata kwa mwigira tu au mzee wa upako lusekelo pale ubungo.
Wewe siyo mtu wa kuingia Kanisani. Akili zako zinakuweka uchi. Wewe ni wale 'wagomea sensa'.
 
Mkuu Wikolo,
Unaweza ukatuwekea hiyo story kwa undani? Tukiisoma kwa undani tutaweza kujadili kwa marefu yake;
Maana kwa kusoma tu hapo juu utaona tayari liko biased na mwandishi wake ametoka katika vile vyoo vya Kata;

1. Kumtaja John Mnyika (MB) kama 'Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chadema', wakati si kweli.

2. Kuonyesha msimamo wao mwanzo tu mwa habari kwa kuelezea harambee za CHADEMA ni 'hadaa na za kisanii'

3. Nataka kujua uhusiano na influence ya Dkt Slaa (padri mstaafu wa Jimbo Katoliki Mbulu) na Shirika la Yesu (Society of Jesus - S.J, maarufu kama Jesuits).
 
Mimi naamini kwa sababu ukiangalia Askofu Makiadi Mapengo Francoo, yaani sera zake na za chadema zinafanana sana, maana yeye kila siku kwenye ibada badala ya kuwajenga wananchi wake kiroho, anajikita sana kuongelea mambo ya kisiasa. huku ni kushindwa na kazi yake. naye inabidi aanzishe chama ili awe mwanasiasa kama slaa, maana mwenzake slaa ya kanisa yamemshinda pamoja na kanisa kumsomesha biblia hadi ngazi ya udoktari, lkn ameamua kuingia kwenye siasa ili aigeuze nchi iwe parokia ya katoliki kabisaa, kwa hiyo sauti wako sawa kabisaaa, mimi mwenyewe nikienda kanisani mzee mapengo huwa ananiboa, naona bora niende hata kwa mwigira tu au mzee wa upako lusekelo pale ubungo.

mkuu umehesabiwa, kama haujahesabuwa kahesabiwe yaheeee!
 
Mkuu Wikolo,
Unaweza ukatuwekea hiyo story kwa undani? Tukiisoma kwa undani tutaweza kujadili kwa marefu yake;
Maana kwa kusoma tu hapo juu utaona tayari liko biased na mwandishi wake ametoka katika vile vyoo vya Kata;

1. Kumtaja John Mnyika (MB) kama 'Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chadema', wakati si kweli.

2. Kuonyesha msimamo wao mwanzo tu mwa habari kwa kuelezea harambee za CHADEMA ni 'hadaa na za kisanii'

3. Nataka kujua uhusiano na influence ya Dkt Slaa (padri mstaafu wa Jimbo Katoliki Mbulu) na Shirika la Yesu (Society of Jesus - S.J, maarufu kama Jesuits).

Mkuu, na mimi nimeipata kama ilivyo ndugu yangu. Jaribu tu kuwa unafuatilia hilo gazeti kila linapotoka na naamini kuna kitu utagundua kwa sababu liko kama lina mapambano ya kudumu na Chadema pamoja na wanaharakati wengine.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom