Gazeti la Raia Mwema laadimika mjini Arusha.

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,894
31,103
Gazeti la Raia mwema linalotoka mara moja kwa wiki [Jumatano] limekuwa adimu kama madini ya Tanzanite hapa mjini Arusha.Taarifa nilizojaribu kudodosa toka kwa wauza magazeti zinabainisha kwamba uhaba wa gazeti hilo unatokana na story iliyobeba ikimnanga mmoja wa vigogo wa siasa toka kanda ya kaskazini mwenye tamaa ya kukalia kiti cha magogoni.

Mwenye nakala ya Raia mwema tafadhali atumwagie hapa jamvini.
 
Back
Top Bottom