Halisi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2007
- 2,802
- 613
Katika ukurasa wa Facebook wa gazeti la Raia Mwema kuna taarifa ifuatayo:
Bajeti yenyewe imesomwa leo na Zitto Kabwe.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...1-kambi-ya-upinzani-wanawasilisha-bajeti.html
Kuna taarifa kwamba Nape Nnauye anakutana na waandishi leo kuzungumzia bajeti hiyo. KUna taarifa kwamba atahusisha na kampeni za Dk. Slaa za uchaguzi wa mwaka 2010, lakini anapaswa kujibu kuwa mbona ahadi za Kikwete nazo hazijaingizwa kwenye bajeti ya Mkulo? hakuna ahadi za kujenga barabara kibao, kununua meli katika maziwa yote na mengi mengineyo hayamo katika bajeti ya Mkulo
Tunawaomba radhi wasomaji wetu kwa kutotoka leo na badala yake tutatoa kesho Alhamisi. Tumeona tutende haki kwa wapinzani maana tuliahirisha kwa sababu ya Bajeti ya Serikali, ambao hawajatupa tangazo, wapinzani wametupa tangazo la bajeti yao, tusingekuwa waungwana kuchapa Jumatano na kuacha bajeti yao. Tunaomba mutuunge mkono, Tutaendelea kutoa kila Jumatano siku zijazo