Gazeti la Rai: Mukama adaiwa kutaka kujiuzulu kisa Nape; Mwenyewe akanusha!

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Source Gazeti la Rai Nguvu ya Hoja

Katibu mkuu wa CCM a.k.a Magamba amemwandikia barua nwenyekiti wake wa CCM Rais Jakaya Kikwete kuomba kujivua gamba na sababu kuu ya kujiuzulu huko ni mvurugano ndani ya chama hicho na msababishi mkuu ni Katibu mwenezi wa chama bwana Nape Nnauye kuchukua majukumu yote ya chama na kufanya maamuzi kama atakavyo yeye.

Sasa maamuzi ya kujiuzulu kwake yatategemea mwenyekiti na kamati ya CCM kuamua kujiuzulu kwake au la.

Concern

Nape Nape iko wazi yeye ndio mwenyekiti, katibu mkuu, msemaji wa chama. Bila shaka kuna kundi anallilitumikia kwa maslai binafsi. Nashukuru kwa kuongeza kasi ya kukipeleka chama kuzimu
 
Duu, inamaana ile Kauli ya Makamba (baba) kuwa..."..Nape Kakifanya Chama mali yake.." yaweza kuwa kweli!!
Nahisi Nape na Mukama, wanazitumikia Kambi mbili tofauti ndani ya CCM.
 
Hivi sababu siyo taarifa ya kamati yake juu ya hali ya chama ambayo ilisababisha Makamba kutoka na yeye kuingia? Alichodhani amekiainisha kwenye taarifa yake alipoingia ndani ameona mambo hayaendi hivyo na hivyo kufanya yeye na Makamba kuwa sawa sawa. Katibu Mkuu wa CCM hafanyi chochote isipokuwa kile kilichoamuliwa na JK pamoja na familia yake.
 
Duu,
inamaana ile Kauli ya Makamba (baba) kuwa..."..Nape Kakifanya
Chama mali yake.."
yaweza kuwa kweli!!
Nahisi Nape na Mukama, wanazitumikia Kambi mbili tofauti
nani ya CCM.

Kuhusu yusuf makamba namtetea nape!
Makamba alimwachie Lowassa apige dili ya kuuza jengo la umoja wa vijana nape akapigia kelele lowassa.
Makamba akakasirika na kuamua kumvua uanachama nape...hivyo hawa wana ugomvi binafsi.
 
Hana lolote huyu mzee, ameshaona vuguvugu limewashika pabaya sasa wanatafuta njia ya kutokea
 
Source Gazeti la Rai Nguvu ya Hoja

Katibu mkuu wa CCM a.k.a Magamba amemwandikia barua nwenyekiti wake wa CCM Rais Jakaya Kikwete kuomba kujivua gamba na sababu kuu ya kujiuzulu huko ni mvurugano ndani ya chama hicho na msababishi mkuu ni Katibu mwenezi wa chama bwana Nape Nnauye kuchukua majukumu yote ya chama na kufanya maamuzi kama atakavyo yeye.

Sasa maamuzi ya kujiuzulu kwake yatategemea mwenyekiti na kamati ya CCM kuamua kujiuzulu kwake au la.

Concern

Nape Nape iko wazi yeye ndio mwenyekiti, katibu mkuu, msemaji wa chama. Bila shaka kuna kundi anallilitumikia kwa maslai binafsi. Nashukuru kwa kuongeza kasi ya kukipeleka chama kuzimu

Kweli nimeamini nape anawanyima usingizi,mti wenye matunda siku zote ndio upopolewa kwa mawe,nape mtu mdogo tu peke yake anawatoa kamasi,mnaweweseka nae
 
Haijawahi kutokea Mwenyekiti akakubali barua ya mtu kujiuzulu!Kama ulipata uongozi kwa majungu basi utaondoka kwa majungu.
 
Source Gazeti la Rai Nguvu ya Hoja

Katibu mkuu wa CCM a.k.a Magamba amemwandikia barua nwenyekiti wake wa CCM Rais Jakaya Kikwete kuomba kujivua gamba na sababu kuu ya kujiuzulu huko ni mvurugano ndani ya chama hicho na msababishi mkuu ni Katibu mwenezi wa chama bwana Nape Nnauye kuchukua majukumu yote ya chama na kufanya maamuzi kama atakavyo yeye.

Sasa maamuzi ya kujiuzulu kwake yatategemea mwenyekiti na kamati ya CCM kuamua kujiuzulu kwake au la.

Concern

Nape Nape iko wazi yeye ndio mwenyekiti, katibu mkuu, msemaji wa chama. Bila shaka kuna kundi anallilitumikia kwa maslai binafsi. Nashukuru kwa kuongeza kasi ya kukipeleka chama kuzimu

afadhali ajiuzulu tu maana ni mzigo kwenye chama
 
Mukama hajui kuwa CCM ina wenyewe?na wenyewe ni familia ya MALECELA,MWINYI,KARUME,NNAUYE,KAWAWA,MALIMA,RUPIA,NYERERE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom