Gazeti la RAI toleo la leo limejaa makala za kuiponda Chadema na mgombea wake wa urais, na upande mwingine kuifagilia CCM na mgombea wake.
Ni rahisi sana ku-confuse gazeti hili na UHURU au MZALENDO, magazeti ya CCM. Nini kimelisibu gazeti hili pamoja na MTANZANIA? Au ni hofu ya mmiliki wake ROSTAM AZIZ kuwa iwapo mzalendo Dk SLAA ataingia madarakani basi safari yake yake ya kurejea kwao Iran itakuwa imewadia?
Huyu anatuhuma nyingi za kutisha ambazo swahiba wake KIKWETE amekuwa akizifumbia macho. Ni wazi kuwa anawaagiza wanahabari wake kukiuka maadili na kuwa chombo cha propaganda cha CCM badala ya kuwa fair katika kuripoti habari za uchaguzi.
Lakini ethics zinataka chombo cha namna hii kutangaza wazi kwamba kinamuunga mkono mgombea fulani ili wasomaji watambue wanasoma gazeti la aina fulani, badala ya kuwaacha wasomaji wadhanie kwamba ni gazeti huru. Kwa kweli RAI na MTANZANIA yanatia kichefuchefu.