Gazeti la rai limeenda wapi?

Mpelijr

Member
May 17, 2010
89
11
Teh teh teh nimefurahi sana baada ya kupekua magazeti ya leo na ghafla nikakumbuka gazeti lililokuwa linaongoza kwa itifaki na suala zima lademokrasia lakini lipo wapi siku hizi?kuna waliosema kuwa lilinunuliwa sijui na mafisadi likawa linatumika kama front kama yalivyo magazeti mengine ya bongo...hivi jamani rai letu li wapi???
 
Back
Top Bottom