Gazeti la Nyasa Times la Malawi lailamikia JamiiForums

Status
Not open for further replies.
Nimesikia this morning kwenye briefing ya Magazeti kwamba serikali ya Malawi inayoongozwa na Mwanamke Joyce Banda imeufyata na kuondoa ndege zote zilizokuwa zinafanya utafiti wa mafuta kwenye Ziwa Nyasa!

Sina hakika kama kweli iko vile. Hata kama Mwanamke Joyce Banda hajafanya hivo,inabidi awaite Mawaziiri wake na hasa yule wa Ulinzi amwambie kuwa swala la kuondoa hizo ndege halina mjadala. Kucheza na mpaka wa Tanzania ni kujitakia matatizo makubwa kwa nchi yao ya Malawi!

Pengine tu napenda nimkumbushe Mama Joyce Banda na Waziri wake wa Ulinzi kuwa Tanzania tulipigana vita mwaka 1978/9 na nchi ya Uganda ikiongozwa na Nduli Iddi Amin baada ya kuvamia mipaka yetu. Yaliyotokea ni history. Kama Mama Joyce Banda anataka yamkute yaliyomkuta Idd Amin Dadaa basi Malawi waendelee na kucheza na mpaka wetu ndani ya Ziwa Nyasa. Tutapiga mpaka Ikulu baada ya kusambaratisha Jeshi lake.

Haya ndiyo matatizo ya kuongozwa na mijike inayofikiri kwa kutumia k****! Inasikitisha sana mwanamke anapotaka kuleta sijui maswala ya Beijing ya gender issues,gender equality na upuuzi mwingine kama huo. Mwanamke always hataweza kumpita au kuwa sawa na Mwanamme jamani. Ni maumbile ambayo The God Almighty ameweka, ni kanuni za Mungu ambazo huwezi kuzivunja hata iweje!

Kwa hiyo Mama Joyce Banda asitake kujipima nguvu na Wanaume ataishia pabaya na mwisho wake kama mwanamke itakuwa ni ku***** tu,basi!

Hoja zako ni dhaifu sana lakini zina nguvu sana. kuwa mwangalifu,usiandike kila unachofikiri. HATA WANAWAKE WANASTAHILI HESHIMA SAWA NA WANAUME, ni kweli Rais anaweza kuwa na matatizo yake binafsi mengine hayasababishwi na JINSI yake,tuwe waungwana tuwaheshimu Wamalawi na Rais wao hata kama ni mwanamke.
 
Pipo waacheni Malawi waingie kwenye 18 tutawachukua kama ilivyo Palestine baada ya muda tutawaachia kwa masharti magumu sana mbele ya UN .Nadhani wanatuona wapole wakidhani ni wajinga .JK ni mpole kweli kwa hili ila nitamuomba kama Amiri Jeshi aseme hakuna bila kituo na wakibisha Mwamunyage kabla hajastaafu awe amefika Lilongwe na huko Bluh kwao tuweke wakuu 2 wa mikoa kwa muda usio julikana .
 
Mkuu asante sana kwa link! Kwa kweli sasa nimejua wamalawi wako serious katika hili swala.

Na waziri wao wa ulinzi ulinzi na mambo ya ndani( Uladi mussa) amewatoa wasiwasi wananchi wake kuwa wanaongea na Tanzani hapa ni mefurahishwa na kauli hii.

Kinacho nishangaza ni kwamba yeye kuendelea na msimamo wake wa kuto acha shughuli za utafiti wa mafuta, kwa hapa sijui kama ana taka suluhu.

Na kama nilimsikia Membe anasema waache sughuli za utafiti wakati wakiendelea na mazungumzo , je membe atakubali kuendelea na mazungumzo wakati hawa jamaa wanaendelea na utafiti kwenye ziwa na huyu waziri wao ana onekana ni kiburi sana!

Serikali pia ina bidi ijiandae vizuri maana jamaa wanaonekana kujiamini sana na wamesema ikishindikana watakwenda International Court of justice.

Kifupi serikali yetu ijipange vizuri ku prove na sio kuwaza vita.
Hawa wamalawi hawataki vita wanadai wanchodhani ni haki yao.

Asante mkuu ACP


Nilikuwa napitia nyasa times. Hebu na nyie safishen macho. Link. Tanzania kazi kwenu
 
Mkuu watu wanalilia link lakini mbona kimya?. Ila kwa uhakika ni kwamba Malawi inatetema kuanzia miguuni hadi kichwani. Hawaamini kama tunaiweza na tunaijua cyber war? Waendeleze chokochoko waone watapigwa kwanza kwa maneno (propaganda) kisha watu wanaingia.

Anyway kama ni kweli wamesema hilo kuhusu JF basi I am proud to be part of JF.

Mzee watanzania kwa vita ya maneno acha kabisa.Nakumbuka Gen.Mboma aliwahi kusema ingemchukua masaa matatu tu kufika bujumbura na kikosi chake.Warundi wakagwaya.(walikua wanavuka mpaka eti kufuata waasi)
 
Ungemwambia tu maana anayomaanisha Zemarcopolo ni tofauti na maana uliyonayo wewe,Kwa nini utumie abusive language unnecessary? Sio tabia nzuri.Endelea na daku
ha ha ha ha! Lakini kweli tukosoane bila kutumia lugha ngumu kumeza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom