Gazeti la Nyasa Times la Malawi lailamikia JamiiForums

Status
Not open for further replies.

BondJamesBond

Member
Jul 6, 2011
85
60
Kuna JF member ambaye juzi alipatwa na munkari wa UZALENDO kiasi cha kutoa proposal hapa JF kuwa members wamtumie PM ali awape codes za kumwaga kwenye websites za serikali ya Malawi ili tuwaonyeshe kuwa tunaweza kushut down infrastructure zao etc kwa kutumia kitu kinachoitwa denial-of-service attack (DoS attack)

Naona kwenye toleo lao la online wamelalamika kuwa online vigilantes (yaani JF members) wanatishia usalama na amani ya nchi yao kwa kutoa matamshi ya kuanzisha CYBER WAR

Wameendelea kudai kuwa JF imejaa watu ambao hawaishi kumtukana rais wao matusi ya nguoni. Na pia wanasema kuwa wengine wamefikia point ya kudai kuwa wanayo majina na intelligence officers wa Malawi Tanzania.

Thread jana iliondolewa lakini hivi kweli hawa jamaa wanagwaya kwa mikwara ya JF?

Seriously?

Kama kweli nawavulia kofia wazalendo. Mwendo mdundo.
 
mkuu naomba ni kukosoe jf ni zaidi ya jimbo..jf tumebeba mawazo ya nchi nzima..
Wewe IQ yako yaelekea ni ndogo sana. Unachomkosoa wewe na alichokimaanisha zemarcopolo kwenye post yake ni vitu viwili tofauti kabisa. Usipende kukurupuka.
 
Sasa Rejao,Umekosa neno bayana la kutumia badala ya kum undermine mwenzako kwamba ana IQ ndogo.Unajua kuipima?
Sorry, nimekosa kabisa neno muafaka cuz yote yaliyokuwa yananijia akilini machoni pa watu yangesomeka kama ni matusi. Naomba unisaidie neno muafaka.
 
Last edited by a moderator:
Sorry, nimekosa kabisa neno muafaka cuz yote yaliyokuwa yananijia akilini machoni pa watu yangesomeka kama ni matusi. Naomba unisaidie neno muafaka.

Ungemwambia tu maana anayomaanisha Zemarcopolo ni tofauti na maana uliyonayo wewe,Kwa nini utumie abusive language unnecessary? Sio tabia nzuri.Endelea na daku
 
ziwa letu lilindwe kwa gharama yoyote

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
weka link basi tusome iyo habari..toka kwenye gazet lenyewe
 
Wafanyakazi wa NAPE lazima msaidiane kuwaweka sawa wanaowakosoa, hata kama hakina mantiki ilimradi mnadhihirisha uroboti wenu.
Wewe IQ yako yaelekea ni ndogo sana. Unachomkosoa wewe na alichokimaanisha zemarcopolo kwenye post yake ni vitu viwili tofauti kabisa. Usipende kukurupuka.
 
Mkuu watu wanalilia link lakini mbona kimya?. Ila kwa uhakika ni kwamba Malawi inatetema kuanzia miguuni hadi kichwani. Hawaamini kama tunaiweza na tunaijua cyber war? Waendeleze chokochoko waone watapigwa kwanza kwa maneno (propaganda) kisha watu wanaingia.

Anyway kama ni kweli wamesema hilo kuhusu JF basi I am proud to be part of JF.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom