Elections 2010 Gazeti la Mwananchi na uchaguzi

PayGod

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
1,259
57
ndugu zangu, naombeni maoni yenu kuhusu gazeti, la mwananchi kama linalipoti sawa kuhusu habari za siasa bila kubase chama cha mapinduzi, kama HABARI LEO, MTANZANIA na mengine mengi, ambayo ni magazeti ya MAFISADI
 
Mwanainchi ni gazeti moja tu hapa Tz linaloripoti ukweli bila kulalia upande wowote likifuatiwa na Tanzania Daima
 
Mwananchi kwa sasa ni 100% ndilo pekee liko fair
Linafuatiwa na Tanzania Daima (95% Fair), 5% hulalia Chadema, walau kuna inteligential nzuri ktk TZDAIMA na umakini
 
ndugu zangu, naombeni maoni yenu kuhusu gazeti, la mwananchi kama linalipoti sawa kuhusu habari za siasa bila kubase chama cha mapinduzi, kama HABARI LEO, MTANZANIA na mengine mengi, ambayo ni magazeti ya MAFISADI
Ukweli ni kwamba Mwananchi hawafagilii serekali ya CCM kwa hio ni gazeti yenye coverage nzuri mno sema wanafocus sana sana kuwafumania CCM. Ni gazeti nzuri. Lakini kama unataka ambayo inaandika bila kubagua, soma Majira.
 
Mwananchi wamejitahidi sana kuwa na balanced reporting. Lakini wamekuwa makini kuhakikisha wako online kuliko Tanzania Daima. At least unaweza ukapata sio zaidi ya masaa manne tangu siku ianze.

Mengine yangekuwa hivi ingekuwa rahisi kufahamu mengi yanayojiri katika nchi tajiri duniani, Tanzania
 
Kwa kweli nadhani mwananchi wanaandika vizuri.tz daima wanafuatia.majira siioni online,mwenye msaada pia anipe.haya ni yale yanayotoka kila siku.yale ya wiki ni raia mwema na mwanahalisi pekee na kwanza jamii ambalo siku hizi halitoki
 
Back
Top Bottom