Gazeti la Mwananchi mnatuchanganya!

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,743
21,188
Kati ya magazeti yanaoongoza kwa kusomwa na watu wengi hili linaongoza. Ilionekana kuboresha idara zenu ili kukidhi mahitaji na usasa.

Katika uboreshaji huo huwa nashindwa kuelewa kwa nini moderator wenu wa Mwananchi online huwa hawapitii kuangalia walichopost na kurekebisha!

Angalia hii hapa:
 

Attachments

  • 1440142853917.jpg
    1440142853917.jpg
    45.3 KB · Views: 273
Back
Top Bottom