Gazeti la mwananchi la leo....

:popcorn:Lo hiyo kali,nadhani kutokana na tetemeko la kisiasa nchini lazima magamba wakubali kuwa wamepoteza mwelekeo na sijui kwa nini bunge halijona umuhimu wa kuiga sheria za ********* kuwanyonga wezi hawa na fisadi wa mali za umma? lakini ipo siku yaja.
 
ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwananchi leo, picha inawaonyesha wananchi wakiwa wameuchapa usingizi kwenye mkutano wa kampeni wa ccm, unaohutubiwa na Dk. Bilal, huko Tunduru... duh watu washachoka kabla hata kazi haijaanza!

Mbona wenyewe bungeni wanalala?
 
sina uhakika sana, japo ninavyofikiri ni kama wanachokisikia pengine hakiwapi matumaini kabisa ya kubadilika kimaisha. Lakini pia kinawasikitisha kama hivi, na pengine ni dalili ya kukuwa kiupeo. Ni hayo tuuuu.....,,,!
 
Wale "wamepelekwa" mkutanoni, wakati wale wa CHADEMA huwa wanaenda mkutanoni....

kama serikali inaweza kuongea huku wananchi wamelala ni ajabu, unajua kulala kwa wananchi ni taswira ya vile wananchi walivyopigwa na maisha..........Mungu wetu atusaidie tuokoke kutoka kwa huu utumwa wa "uhousegirl"
 
Back
Top Bottom