Gazeti la mwananchi kwa hili mnapoteza imani wa wateja wenu

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,134
331
Katika toleo la Leo la mwananchi kuna kichwa cha habari Dr Slaa ametaja mafisadi wapya ila ukisoma habari yenyewe hakuna ata jina la hao mafisadi ila ni longo longo nyingi.

My take;
Kwa muhariri wa gazeti hili la mwananchi huu ni wakati wa uwazi na ukweli kama nyie mtabana tutapata habari kupitia vyombo vingine kwani hapa JF mbona wanayo majina na pia magazeti mengineo iweje nyie mpotoshe jamii kwa kusema Dr Slaa hakutaja majina?

Nawasilisha

ukiona hivyo mhariri hakuwa na taarifa yote, kama ww unawajua wote waandike hapa na utuambie umeyatoa wapi? ulimhoji dk?

Katika toleo la Leo la mwananchi kuna kichwa cha habari Dr Slaa ametaja mafisadi wapya ila ukisoma habari yenyewe hakuna ata jina la hao mafisadi ila ni longo longo nyingi.

<br /

Kama Jf yapo,kilichokupeleka Mwananchi ni nini?Punguza upenzi ambao utakuhatarisha kwani inaonyesha Gazeti lisilo na Jina la Slaa wewe kwako halinamaana.

Kama Jf yapo,kilichokupeleka Mwananchi ni nini?Punguza upenzi ambao utakuhatarisha kwani inaonyesha Gazeti lisilo na Jina la Slaa wewe kwako halinamaana.

Hata kama angekuwepo slaa ambae mtoa mada ametoa kama wamekosea lazimaa waambiwe mkuu. Huu sio muda wa ushabiki na unafiki. Kama mwananchi wamekosea waambiwe

kwani wewe ulikuwa hujui kwamba mwananchi ukitoa hela wanaandika habari unayotaka wewe kwani walisha wahi kupotosha jamii kwa kuandika mwanafunzi wa saut auwawa na raia kwa wizi kumbe maaskari ndo wamemua..kuchunguza kumbe wamepewa hela na polisi ili waandike hvyo so i hate MCL..

mukama at work i zcan see magamba yamekushambulia kama nini. I hope mwananchi ni waoga wanasubiria mpaka mambo yapambe moto ndio utaona wanaanza kuweka au wanataka kuweka kiutani kwanza waaache uogaj

Taarifa za kiintelenjia zinaweka wazi siku hizi kuna mamluki pale toka idara ile iliyoshutumiwa na Dr. Slaa na ni mhariri hivyo ushingae kuona hivyo hiyo ndiyo kazi yake aliyopewa ameanza kuitekeleza. Hiyo ni baada kuonekana Mwananchi ni tishio ikabidi ku neutralize sumu kidogo. Hebu cheki maoni ya msomaji mmoja kwenye website yao "wewe mhariri ni mshenzi sana kwanini hamjaandika majina ya waliotajwa na Dk Slaa? Mnaficha nini sasa wakati wamekwisha tangazwa? acheni u[NENO BAYA]
wa kitoto-toto"
Hapo unaweza kuanza kupata picha. Full story bofya hapa Slaa ataja mafisadi wapya.

Katika toleo la Leo la mwananchi kuna kichwa cha habari Dr Slaa ametaja mafisadi wapya ila ukisoma habari yenyewe hakuna ata jina la hao mafisadi ila ni longo longo nyingi.

My take;
Kwa muhariri wa gazeti hili la mwananchi huu ni wakati wa uwazi na ukweli kama nyie mtabana tutapata habari kupitia vyombo vingine kwani hapa JF mbona wanayo majina na pia magazeti mengineo iweje nyie mpotoshe jamii kwa kusema Dr Slaa hakutaja majina?

Nawasilisha

hata mimi nimeona. katika habari zao zote za front page, niliyosoma mwanzo mwisho ni ile ya Lisu na Makinda.

ya Slaa na magamba nimejaribu nikashindwa kuendelea pale nilipoona majina yanahifadhiwa.

mimi mafumbo siwezi.

Mwananchi wamezibwa mdomo,kama wangekuwa free they cud jus name them n tell the source of the story

Mimi nawashukuru maana watawafanya watu watafute majina hayo hadi kuyapata, au watu watazidi kuuliza hadi wayapate. Ni namna nzuri ya kuufanya umma watanzania kumsubiri Kubenea J5. Kwa wewe nenda Tanzaniz Daima au freemedia.co.tz.

ukiona hivyo mhariri hakuwa na taarifa yote, kama ww unawajua wote waandike hapa na utuambie umeyatoa wapi? ulimhoji dk?

Nimetoa hela ninunue gazeti iweje kilichoandikwa tofauti na kilichopo ndani. Ndio maana nikasema kuna jambo limefichwa na muhariri ndiye anayehusika.

Katika toleo la Leo la mwananchi kuna kichwa cha habari Dr Slaa ametaja mafisadi wapya ila ukisoma habari yenyewe hakuna ata jina la hao mafisadi ila ni longo longo nyingi.

My take;
Kwa muhariri wa gazeti hili la mwananchi huu ni wakati wa uwazi na ukweli kama nyie mtabana tutapata habari kupitia vyombo vingine kwani hapa JF mbona wanayo majina na pia magazeti mengineo iweje nyie mpotoshe jamii kwa kusema Dr Slaa hakutaja majina?

hawa jamaa walishatishiwa nyau last yia wakati wa uchaguzi ndo maana wanakuwa waoga. but a man is he who stands alone

ni CCMwaelewe SILVIO BELUSCONI WA ITALIA anamiliki vyombo vya habari lukuki,lakini mambo yamefikia ukingoni na juzi amefikishwa kwa pilato akiwa waziri mkuu wa nchi.kwa hiyo pamoja na ccm kutumia taasisi zake kudhibiti vyombo vya habari,ni suala la muda tu na maji yameisha wafika shingoni na sasa wanatapatapa tu.
*KANU YA KENYA ILIPITIA NJIA KAMA HII KUELEKEA KABURINI.

Vyombo vya habari vya nchii hii vimejaa uoga na waoga, kuna mambo mengi tu wanayaficha tusiyajue kwa makusudi au kwa kuogopa vigogo.

Natumia zaidi ya 4000/- kwa wiki kununu magezeti ya MCL,but know I have to think twice,kama niliachana na magazeti ya Mengi(mzawa) seuse ya Gabachori Aga khan!!!

Nimesoma hiyo habari ni kweli majina wameyahifadhi. Hakukuwa na sababu ya kuya-hifadhi wakati yalitajwa hadharani kwenye mkutano na Dr Slaa, otherwise wasinge-iweka hiyo habari kabisa ukizingatia magazeti mengine kama Tanzania Daima wame-ripoti na kuyataja majina yote na namna walivyohusishwa kwenye ufisadi.

Mwenzenu nina source 2 tu za habari, JF daily na gazeti la Kubenea kila J5. Asanteni kwa kunikumbusha kuwa sijakosea kufanya haya maamuzi.

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom