Gazeti la Mwananchi Kulikon?

AZIMIO

Senior Member
Jun 15, 2011
188
52
Wadau mwenye data naomba anifahamishe,nimefuatilia siku za hiv karibuni gazeti pendwa la Mwananchi wanaludia ludia zile katuni za Kingo na siku nyingine hakuna kabisa,vp mkataba na mshkaji ndio umeisha au jamaa amekosa ubunifu tena?mwneye data tafadhari wengine sisi ni wadau wa Kingo.
 
Ni kweli kabisa mkuu, hata mm iliniboa sana kuona marudio ya katuni moja wiki nzima, mfano ni ile aliyokuwa na mademu ambao baada ya kumchuna Kingo ikabidi avuliwe nguio na uongozi wa baa.
Nyingine ni ile ya Kingo akisukuma kitoroli cha supermaket baadaye mwanamke akatokea na kutoa kitu mfano wa mdoli kweye kitoroli,
Zipo nyingi lakini just to mention a few. Ilikuwa inaboa mpaka basi.....
 
Back
Top Bottom