Gazeti la MwanaHalisi mmetuchosha

Mtu aliye nje ya nchi atanunua vipi gazeti lilioko Tanzania? Watu walioko nje wanategemea kupata habari kwa njia ya mitandao.
Unawalazimisha wawe update. Lakn wewe unachoktaka zaidi ni kusoma magazet kupitia mtandao, kitendo ambacho kinaua biashara na mitaji. Kuwa mzalendo kwa kununua gazet la mwanahalisi, usingoje litundikwe kwenye website.
 
Km wana2jali wasomaji wao naamin watafanya marekebisho,camin km Kubenea 'kachakachuliwa' vngenevyo 2kipewa maelezo ya kushawsh zaidi.
 
Hahahahah watanzanai wako radhi wakakae kwa wauza magazetu apige porojo huku akipitia kichwa cha habari kimoja baaada ya kingine, baadae anaaga hata kumuungisha muuzaji.

Sasa wewe mwenye tabia hii unaua biashara za wengine. kwa mlioko nje ya nchi tunaelewa sana, lazima mlalame siku zingine siku haziendi kabisaa.Big up sana mkuu kwa kuwakumbusha. Jiunge SACCOSS tupunguze njaa na urasimu wa kulalamika hatusaidiwi.

NI rahisi tu, tuma jina, namba ya simu, na email address (jina halisi siyo nickname). Au nitumie message kwenye simu yangu 0655 447788 ukinipa hizo details zako.

karibu sana wadau, tujenge utaratibu wa kujitegemea.

CD

Nimeingia kwenye blog ya mjengwa nikakautana na makala ya jenerali iliyotoka Raiamwema na mjengwa blog inaelekeza kwenda kuisoma kwanzajamii.com hii ni sahihi?au Jenerali anaaandika makala nakuzituma katika magazeti mawili?
 
Back
Top Bottom